Jinsi mapenzi ya mtoto wa Kizulu Durban South Africa yalivyotaka kunitoa roho

Jinsi mapenzi ya mtoto wa Kizulu Durban South Africa yalivyotaka kunitoa roho

Dah khumbu huyu khumbu huyuuuu mwenye tako la kuning'inia....mbona mimi sikutani nao, nakutana na wenye tako la kuchanua tu[emoji29][emoji45]

unaendaga kidimbwi ? samaki samaki ? kwa mwamposa ? mkuu mwanamke akitaka ajipime kama ye mzuri au laa aende kidimbwi akajifananishe ne levels [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Muwe na usiku mwema wa dada wote magubegube yaliomshinda mtume na maswahaba zake, wenye damu za kunguni na nyota za punda tasa, mliokosa mualiko hata siku ya Valentine's Day kwenda kuhongwa hata Banana au K-Vant.

Mmekaa kukodoa macho JF usiku na kuharisha kwenye thread za watu, wakati wenzenu tupo nao viwanja.[emoji4]
[emoji16][emoji16][emoji16]
EuMQdXeXIAEXyIj.jpg
 
Mnh.... Ya Kweli haya?? Sasa mbona Kila Ke ninayembembekeza anagoma?? Labda kma na wewe Ni Ke uniruhusu nijaribu kukubembeeleza na wewe labda nitafanikiwa

Mie ninae wa kunibembeleza. Pambana tu mnyantuzu ataelewa.
 
Au upo SA saivi nikuelekeze sehemu za kwenda kama upo Tz hizo sehemu nlizosema ni zinajitahidi
😅nitashukuru sana, nelson mandela bay, kwadwesi-mpetha street, elekeza kuanzia hapo mkuu


Hakikisha tako lakubembea kweli kweli naliona nitalipiga picha nililete hapa
 
Jamaa una Hekima na Busara Sana unafaa kuwa Kiongozi ndiyo maana nikasema kwenda kwako nchi mbalimbali kumesaidia Sana kukuondolea utando kichwani.. Kwa ninavyowajua WaTz wangekuwa wamesusa na kuanza kurudisha matusi. Ila Siyo kwako. Unajibu kwa utulivu pia Ni msikivu Sana. Asante kwa kuona uhitaji wetu na kuamua kuendelea. Kweli kuandika kwenye simu ni kazi Sana Wewe jitahidi kuweka kwenye com hata Kama Ni Mara moja kwa wiki Lakini usituache njiani Kama Mradi wa umeme wa Gesi au bomba la Mafuta. Utufikishe KILELENI Kweli Kweli [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Big up Mkuu
Mzee Kileleni ufikishwe mwenyewe [emoji23]
 
Kuna salon moja pale workshop ilikuwa inamilikiwa na mburundi rafiki wa jamaa yetu don mkubwa, huyo mayor unayemuona mtu mzito alikuwa anakuja kunyoa pale.
But still ni mayor... Haileti sense. Kabisa. Yaani mayor wa jiji la Durban akawe na chokoraa asiweza hata kujinunulia breakfast ya mama mtilie. Yaani mayor ana share dem na wauza mitumba? Yaani kibongo bongo ni mayor wa Dar ana share dem na wauza mitumba wa karume. Huku kapaki v8 lake. Kwanza huyo mayor anakutana wapi na kidemu kama hicho. Mayor wa jiji la Durban sio mchezo wandugu... Anyway watanzania tumezoea kudanganywa. Its ok
 
Daaah jamaa umeharibu Sana aisee ,kama unataka pesa si useme tu tulipie kuliko kutukatil namna hiyo.
Hi story inanipa feelings dizain Niko kwa madiba yaan naiona mitaa ya south ilivyo kupitia feelings alaf gafla unakuja kutukatil kias hicho ,unakosea mwamba
Kakutoa kwa madiba af ghafla anakuacha Tandale🤣🤣🤣🤣
 
Tatizo lenu mnadhani wanasiasa wa nchi za watu wana majivuno kama wanasiasa wenu uchwara wa huku. Mayor ni diwani tu by the way.
Ndio diwani lakini keshakuwa mayor... Ni sawa na useme waziri ni mbunge... Sawa ni mbunge lakini ndio keshakuwa waziri... Gari.. Nyumba.. Ulinzi... Mshahara.
 
Back
Top Bottom