Ndugu wewe ni muha ?But still ni mayor... Haileti sense. Kabisa. Yaani mayor wa jiji la Durban akawe na chokoraa asiweza hata kujinunulia breakfast ya mama mtilie. Yaani mayor ana share dem na wauza mitumba? Yaani kibongo bongo ni mayor wa Dar ana share dem na wauza mitumba wa karume. Huku kapaki v8 lake. Kwanza huyo mayor anakutana wapi na kidemu kama hicho. Mayor wa jiji la Durban sio mchezo wandugu... Anyway watanzania tumezoea kudanganywa. Its ok
Kwa wenzetu walioendelea vyeo vya serikali ni dhamana tu, na sio utajiri kama huku kwetu.. na wala hawajimwambafay kama wa huku kwetu... Na hapo cha ajabu ni kipi mayor kutembea na demu wa kitaa?? Pia kumbuka jamaa amesema huyo demu pia alikuwa anamilikiwa na mmiliki wa daladala..hivyo uzuri alikuwa nao na pia suala la kutanua alilijua..But still ni mayor... Haileti sense. Kabisa. Yaani mayor wa jiji la Durban akawe na chokoraa asiweza hata kujinunulia breakfast ya mama mtilie. Yaani mayor ana share dem na wauza mitumba? Yaani kibongo bongo ni mayor wa Dar ana share dem na wauza mitumba wa karume. Huku kapaki v8 lake. Kwanza huyo mayor anakutana wapi na kidemu kama hicho. Mayor wa jiji la Durban sio mchezo wandugu... Anyway watanzania tumezoea kudanganywa. Its ok
Watu wana share na mawaziri ndio ije kuwa Mayor? Halafu hao Matop wanakula sana kuku wa kienyeji na kuwanunulia majumba kuliko hao wadada High class. Kama member wa mjengoni wanakula machangudoa ajabu nini huyo Mayor kula kuku wa kienyeji msafi?But still ni mayor... Haileti sense. Kabisa. Yaani mayor wa jiji la Durban akawe na chokoraa asiweza hata kujinunulia breakfast ya mama mtilie. Yaani mayor ana share dem na wauza mitumba? Yaani kibongo bongo ni mayor wa Dar ana share dem na wauza mitumba wa karume. Huku kapaki v8 lake. Kwanza huyo mayor anakutana wapi na kidemu kama hicho. Mayor wa jiji la Durban sio mchezo wandugu... Anyway watanzania tumezoea kudanganywa. Its ok
Asante mkuu kwa kunimissShunie nimekumic sn ujue
Mbona umeniangusha sana mkuu.. unaishi wapi? What is ur cyle? Labda ni vile hujajua hio dunia inavyoenda. Yaanii ungejuaaa...But still ni mayor... Haileti sense. Kabisa. Yaani mayor wa jiji la Durban akawe na chokoraa asiweza hata kujinunulia breakfast ya mama mtilie. Yaani mayor ana share dem na wauza mitumba? Yaani kibongo bongo ni mayor wa Dar ana share dem na wauza mitumba wa karume. Huku kapaki v8 lake. Kwanza huyo mayor anakutana wapi na kidemu kama hicho. Mayor wa jiji la Durban sio mchezo wandugu... Anyway watanzania tumezoea kudanganywa. Its ok
Sijui kama unanielewa... Changudoa ana maisha.... Kajipanga barabarani anajiuza.... Wewe ongelea dem anaishi yuko soko la mitumba tandika mwisho... Hajala. Hana hela ya mama mtilie... Kazalishwa na madereva wa daladala... Vuta tu hiyo picha how she look likeWatu wana share na mawaziri ndio ije kuwa Mayor? Halafu hao Matop wanakula sana kuku wa kienyeji na kuwanunulia majumba kuliko hao wadada High class. Kama member wa mjengoni wanakula machangudoa ajabu nini huyo Mayor kula kuku wa kienyeji msafi?
Nimezaliwa dar na kukulia dar... Pia hv big exposure outside of Tanzania and African continent.. So usione kama. Nabahatisha. Tena mayor kwa nchi kama South Africa iliyo na high rate of ujambazi... Unadhani mayor atakuwa kama mayor wako akina masaburi au kimbisa. Stop joking na kufanya vitu rahisi rahisi. Eti mayor wa Durban ana share dem na wauza mitumba na madereva wa daladalaMbona umeniangusha sana mkuu.. unaishi wapi? What is ur cyle? Labda ni vile hujajua hio dunia inavyoenda. Yaanii ungejuaaa...
Hongera wewe usiyedanganywa na unaendelea kukomaa kwenye uzi wa mtu anaekudanganya sasa unafanya nini hapa? Yani unasema unadanganywa bado upo unasoma uone huo udangayifu Aseee only in Tanzania. Wewe tuache wenyewe tumeupenda wenyewe usiharibu starehe za watu.But still ni mayor... Haileti sense. Kabisa. Yaani mayor wa jiji la Durban akawe na chokoraa asiweza hata kujinunulia breakfast ya mama mtilie. Yaani mayor ana share dem na wauza mitumba? Yaani kibongo bongo ni mayor wa Dar ana share dem na wauza mitumba wa karume. Huku kapaki v8 lake. Kwanza huyo mayor anakutana wapi na kidemu kama hicho. Mayor wa jiji la Durban sio mchezo wandugu... Anyway watanzania tumezoea kudanganywa. Its ok
Hujalazimishwa kuamini mkuu. Ukiona ni fix pita kando.Nimezaliwa dar na kukulia dar... Pia hv big exposure outside of Tanzania and African continent.. So usione kama. Nabahatisha. Tena mayor kwa nchi kama South Africa iliyo na high rate of ujambazi... Unadhani mayor atakuwa kama mayor wako akina masaburi au kimbisa. Stop joking na kufanya vitu rahisi rahisi. Eti mayor wa Durban ana share dem na wauza mitumba na madereva wa daladala
Pita hivi[emoji1485]Hii ni story tu kama ya zari la mentali lakini haina uhalisia kabisa sema tu kujipoza uan uchungu wa maisha.. Story inafurahisha watu wanavuta picha wanaona wako South na dem mzuriii.... Lakini akili yao Inashindwa kuchanganua akina ya mtu anayeongelewa
ijumaa npo na manzi,cha pili kkachelewa sana,nkaamua nvute hisia kama namuona khumbu na maujanja yake ghafula nkasikia wazungu wanacome99% ya wanaume tuliousoma huu uzi hadi hapa tumedindisha kwa namna moja au nyingine, na hasira za kipochi mayoya ya Khumbu tunahamishia kwa wake zetu.
Au nasema uongo ndugu zangu?
Naona umeamua kuweka tafsiri yako. Wauza mitumba pia wana classy tofauti kulingana na aina ya nguo na eneo goli lilipo. Pia huyo msichana alizaa na mmiliki wa dala dala za huko,yaani tajiri anaewaajiri hao madereva.huwezi jua status yake.Sijui kama unanielewa... Changudoa ana maisha.... Kajipanga barabarani anajiuza.... Wewe ongelea dem anaishi yuko soko la mitumba tandika mwisho... Hajala. Hana hela ya mama mtilie... Kazalishwa na madereva wa daladala... Vuta tu hiyo picha how she look like
Watu wengine wakiona mtu kaandika uzi vizuri wanaona wivu, wivu mpka kwenye mambo ya yasiyo ya msingiHongera wewe usiyedanganywa na unaendelea kukomaa kwenye uzi wa mtu anaekudanganya sasa unafanya nini hapa? Yani unasema unadanganywa bado upo unasoma uone huo udangayifu Aseee only in Tanzania. Wewe tuache wenyewe tumeupenda wenyewe usiharibu starehe za watu.
Mwanmke yeyote mzuri anachohitaji ni exposure tu, Akionekeana na jamaa akamvutia hata mwenye hela zake,kibosile, sijui ana cheo gani, unafikiri huyo dem atakuwa mwenzako baada ya hata 6 months? Maboss wangapi wanaoa ma house girls ambao baada ya muda ukionyeshwa huyo msichana huwezi amni ni yeye? Usishindane na mwanamke mkuu sio wenzetuBut still ni mayor... Haileti sense. Kabisa. Yaani mayor wa jiji la Durban akawe na chokoraa asiweza hata kujinunulia breakfast ya mama mtilie. Yaani mayor ana share dem na wauza mitumba? Yaani kibongo bongo ni mayor wa Dar ana share dem na wauza mitumba wa karume. Huku kapaki v8 lake. Kwanza huyo mayor anakutana wapi na kidemu kama hicho. Mayor wa jiji la Durban sio mchezo wandugu... Anyway watanzania tumezoea kudanganywa. Its ok
Achana huyo bwana ni mpuuzi kama wapuuzi wengine watu wanataka kujimwambafai kila mahaliNaona umeamua kuweka tafsiri yako. Wauza mitumba pia wana classy tofauti kulingana na aina ya nguo na eneo goli lilipo. Pia huyo msichana alizaa na mmiliki wa dala dala za huko,yaani tajiri anaewaajiri hao madereva.huwezi jua status yake.
Halafu hakuna sehemu mleta mada alisema msichana ni chokoraa,alikosa tu fedha ya chai aina maana alikuwa na hali mbaya,inaweza kuwa ilikuwa siku mbaya kama ilivyo kwa watu wengi.
Kingine mleta mada alimthaminisha namna alikuwa amepiga pamba,alikuwa poa tu.
Mbona hapa hapa unaweza kwenda mlimani city ukakutana na mdada mkali,kapangilia mavazi vizurij kumbe kiuchumi yupo hoi.tena hata kula hajala. Ni lawaida tu katika maisha.
Usiele tafsiri ya mambo ambayo hayapo.
Kwani waziri kuchukua mwanamke Tandale kuna ajabu gani. Wanawake wa Tandale hawana kyummma?.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wew kuna vitu huvielewi....pole sana.Sijui kama unanielewa... Changudoa ana maisha.... Kajipanga barabarani anajiuza.... Wewe ongelea dem anaishi yuko soko la mitumba tandika mwisho... Hajala. Hana hela ya mama mtilie... Kazalishwa na madereva wa daladala... Vuta tu hiyo picha how she look like
OvyooooSafi sana,na kwa Mpalange kidogo