Naona umeamua kuweka tafsiri yako. Wauza mitumba pia wana classy tofauti kulingana na aina ya nguo na eneo goli lilipo. Pia huyo msichana alizaa na mmiliki wa dala dala za huko,yaani tajiri anaewaajiri hao madereva.huwezi jua status yake.
Halafu hakuna sehemu mleta mada alisema msichana ni chokoraa,alikosa tu fedha ya chai aina maana alikuwa na hali mbaya,inaweza kuwa ilikuwa siku mbaya kama ilivyo kwa watu wengi.
Kingine mleta mada alimthaminisha namna alikuwa amepiga pamba,alikuwa poa tu.
Mbona hapa hapa unaweza kwenda mlimani city ukakutana na mdada mkali,kapangilia mavazi vizurij kumbe kiuchumi yupo hoi.tena hata kula hajala. Ni lawaida tu katika maisha.
Usiele tafsiri ya mambo ambayo hayapo.
Kwani waziri kuchukua mwanamke Tandale kuna ajabu gani. Wanawake wa Tandale hawana kyummma?.
Sent using
Jamii Forums mobile app