😂😂😂😂 Usitufukuze Basi.Jamani eeh, sinema imeisha kila mtu aende kwao... bado mnasubiri nini hapa!
Hapo sasa na ni kweli ni wivu tuu hakuna kingineWatu wengine wakiona mtu kaandika uzi vizuri wanaona wivu, wivu mpka kwenye mambo ya yasiyo ya msingi
Sioni kinachoshindikana hapo. Halafu pia fuatilia story ya huyu jamaa utaelewa haiko kama ulivyoelewa. Hata hivyo kuna wanawake wazuri kwa kila kitu na wako huko tandika. Kuna sababu nyingi zinazoweza mfanya pisi kali asiwe na uwezo wa kupata milo yote.Sijui kama unanielewa... Changudoa ana maisha.... Kajipanga barabarani anajiuza.... Wewe ongelea dem anaishi yuko soko la mitumba tandika mwisho... Hajala. Hana hela ya mama mtilie... Kazalishwa na madereva wa daladala... Vuta tu hiyo picha how she look like
Mapenzi unayajua vizuri Mkuu?But still ni mayor... Haileti sense. Kabisa. Yaani mayor wa jiji la Durban akawe na chokoraa asiweza hata kujinunulia breakfast ya mama mtilie. Yaani mayor ana share dem na wauza mitumba? Yaani kibongo bongo ni mayor wa Dar ana share dem na wauza mitumba wa karume. Huku kapaki v8 lake. Kwanza huyo mayor anakutana wapi na kidemu kama hicho. Mayor wa jiji la Durban sio mchezo wandugu... Anyway watanzania tumezoea kudanganywa. Its ok
Binafsi nimeshangaa..Watu wana share na mawaziri ndio ije kuwa Mayor? Halafu hao Matop wanakula sana kuku wa kienyeji na kuwanunulia majumba kuliko hao wadada High class. Kama member wa mjengoni wanakula machangudoa ajabu nini huyo Mayor kula kuku wa kienyeji msafi?
Anaona Mayor kama nini sijui.. Na huku hao ndiyo wanaongoza kula Dada poa wa mjini..Mbona umeniangusha sana mkuu.. unaishi wapi? What is ur cyle? Labda ni vile hujajua hio dunia inavyoenda. Yaanii ungejuaaa...
Hayo ni maisha ya kaiwaida sana na mapenzi hayana cheo wala status. Mwanaume akimpenda mwanamke anafikiria namna atakavyombadilisha na kuwa presentable mbele za watu. Hivyo swala la pisi kali kupatikana kwa mtogole halafu ikaliwa na kiongozi sio shida. Tena unakuta ni tamu kweli. Kuna watoto wengi mtaani wametelekezwa na mawaziriBinafsi nimeshangaa..
Hao Waheshimiwa ndiyo wanaongoza kwa kula wadada wa kawaida sana. Na wanawapa vitu vya thamani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mara ya mwisho kufanya mapenzi na Khumbu
Kabla sijajua mahusiano ya Khumbu na Mayor tuliendelea kuwa pamoja japo ilikuwa inatuchukua hadi wiki tatu kukutana. Ilianza kuwa vigumu sana kumuona Khumbu, kila nikimuhitaji visingizio vilikuwa haiviishi. Aliianza mtindo kuja kukutana na mimi chuoni pale nilipozidi kumlalamikia na kutia huruma kwa nini ananitesa kiasi hiki. Akija mnaishia kuongea tu na kuondoka. Kwa hiyo alikuwa ananiambia atapitia mara moja hapo chuoni kunicheki. Akija nilikuwa nautumia huo muda kumwelezea ni jinsi gani ananiumiza na mambo yake ya kutokupatikana kama ilivyokuwa awali. Yeye alikuwa anasisitiza kutokupatikana kwake mara kwa mara kunasababishwa na majukumu ya kazi maana Jumapili pekee ndio siku yake ya kupumzika na kufanya usafi hivyo tusingeweza kuonana kama ninavyotaka. Basi maisha yaliendelea kuwa hivyo kwa muda mrefu.
Kama nilivyoelezea huko nyuma, yule demu wa jamaa yetu cha pombe alikuja kuniambia kuhusu mahusiano ya Khumbu na Mayor, na mambo mengine mengi tu ambayo yaniliumiza sana. Mojawapo ya habari alizoniambia ni kuwa Khumbu bado hajaachana na baba wa mwanaye. Jamaa ana mke lakini pia anamhudumia Khumbu pamoja na mwanae. Pia gari alilokuja nalo siku ile amenunuliwa na Mayor. Hivyo kwa sasa Khumbu yupo busy na hao watu wawili ndio sababu mimi nimewekwa kando. Nilijaribu kumdadisi huyo demu aniambie kwa maoni yake akimwangalia Khumbu anaionaje nafasi yangu kwake. Yule demu aliniambia Khumbu ananipenda sana ndio sababu ameendelea kuwa na mimi licha ya kuwa mimi ni foreigner halafu sina hela. Akaniambia ningekuwa na uwezo wa kumuweka Khumbu ndani na kumhudumia yupo tayari kuolewa na mimi. Ila tatizo sina kitu halafu hao anaowadate ndio wanaomuweka mjini. Sana sana hapa kwangu analikuwa anapata mambo ya mgegedo tu.
Baada ya kusikia yote hayo moyo uliniuma sana. Nikaanza kuunganisha dots na kuamini kuwa haya yote ni ya kweli, hakuna uongo hata mmoja. Nikakumbuka hata ile siku tumepisha naye akiwa kwenye gari mitaa ya point huenda alikuwa na mmoja wa hao jamaa. Kwa kweli niliona huyu mwanamke simuwezi tena. Nikawa namfikiria huyo mayor atakuja animalize siku akija kugundua nachangia naye demu maana ana body guard mmoja mbavu nene. Alikuwa akija kunyoa pale na hiyo njemba (body guard) ipo nyuma. So nikaona kuendelea naye ni kujitafutia matatizo.
Kuna siku nilimwomba aje, kama kawaida yake akasema hawezi yupo busy. Uvumilivu ukanishinda, nikaanza kumchana. Nikamwambia wewe malaya sikiliza, najua sana kuna watu hutaki kuwaudhi, hizo visingizio vyako ni bullshit. Nikamwambia najua kila kitu, hadi hiyo gari uliyonunua ulinidanganya, nikamwambia na ile siku tuliyomuona kwenye gari kule point. Akaonyesha kuhamaki na kuanza kusema kama nasikiliza maneno ya watu bora nimwache aendelee na maisha yake, ananiambia kama yeye ni malaya kwa nini namng’ang’ania, akakata na simu. Nikajaribu kupiga ili niendelee kumtolea hasira zangu akawa anaikata, nikaamua kumsindikizia meseji za matusi.
Baada ya hilo tukio la kumweleza ukweli kuhusu hao mabwana zake nikawa tena simtafuti japo maumivu ya kutokuwa naye yalikuwa ni makali sana, nilikuwa na stress za kufa mtu. Nikajitahidi kwa kiasi kikubwa kupunguza kumtafuta, nikawa nampigia mara moja moja pale hisia za mapenzi zinaponijia, si unajua kuna zile moment mtu uliyekuwa unampenda unajikuta unaanza kumuwaza na kujikuta hali flani ya unyonge inakuingia especially ukikumbuka moments mlizokuwa mnaspend quality time pamoja. So kila nikimkumbuka kama hivyo nampigia kumsalimia.
Siku moja nikiwa njiani narudi mjengoni kutokea chuoni alinipigia simu akiwa analia, hata kuongea anashindwa. Namwuliza nini tatizo Khumbu? akasema nakuomba njoo nyumbani. Nikamwambia unanitia wasiwasi naomba uniambie nini shida, huku akiendelea kulia akaniambia bibi amefariki, akazidi kuniambia, bibi yangu amenilea tokea nikiwa mdogo, kwangu mimi huyu ni mama angu. By the way mama yake mzazi alishafariki kitambo. Baba yake alikuwa ni polisi province nyingine na alikuwa hana mawasiliano mazuri na mwanae, sikujua sababu ni nini. Kwa hiyo Khumbu huku akilia akaniambia niende kwao. Basi nikamwambia nakuja, acha nifike kwanza nyumbani. Nilipofika nyumbani nikaoga, nikabadilisha nguo, nikaanza safari ya kwenda kwao.
Misiba ya South Africa huwa watu wanakuja kwenye msiba siku ya mazishi tu, na mazishi huwa yanafanyika siku za weekend tu. Na kazi ya kuzika huwa inafanywa na makampuni ya mazishi. Mwili wa marehemu huendelea kuwa mortuary hadi siku ya mazishi. Kwa hiyo kabla ya siku ya mazishi wana ndugu pekee huwa nyumbani kwa marehemu. Nilipofika nikamkuta Khumbu na ndugu wachache tu. Khumbu akanikaribisha chumbani kwake.
Itaendelea..
Nakufatilia nikiwa northwest hapa, uku kuna waswana ni noma, weupe alaf izo shepu ndo kwao, sema 90 tayari wameunganishwa na gridi ya taifa.Mara ya mwisho kufanya mapenzi na Khumbu

Hivi sasa ni saa 9 Alasiri,huyu Khumbu huyu huko chumbani tena🙌Mara ya mwisho kufanya mapenzi na Khumbu

Nasema ivi acha UFALABut still ni mayor... Haileti sense. Kabisa. Yaani mayor wa jiji la Durban akawe na chokoraa asiweza hata kujinunulia breakfast ya mama mtilie. Yaani mayor ana share dem na wauza mitumba? Yaani kibongo bongo ni mayor wa Dar ana share dem na wauza mitumba wa karume. Huku kapaki v8 lake. Kwanza huyo mayor anakutana wapi na kidemu kama hicho. Mayor wa jiji la Durban sio mchezo wandugu... Anyway watanzania tumezoea kudanganywa. Its ok
Mkuu inaonekana 'eksiposha' ulioyonayo haijakusaidia kitu labda kama ingekua 'exposure'Nimezaliwa dar na kukulia dar... Pia hv big exposure outside of Tanzania and African continent.. So usione kama. Nabahatisha. Tena mayor kwa nchi kama South Africa iliyo na high rate of ujambazi... Unadhani mayor atakuwa kama mayor wako akina masaburi au kimbisa. Stop joking na kufanya vitu rahisi rahisi. Eti mayor wa Durban ana share dem na wauza mitumba na madereva wa daladala
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nimezaliwa dar na kukulia dar... Pia hv big exposure outside of Tanzania and African continent.. So usione kama. Nabahatisha. Tena mayor kwa nchi kama South Africa iliyo na high rate of ujambazi... Unadhani mayor atakuwa kama mayor wako akina masaburi au kimbisa. Stop joking na kufanya vitu rahisi rahisi. Eti mayor wa Durban ana share dem na wauza mitumba na madereva wa daladala
Ujuaji mwingine ovyo sana... yaan... mtu uwe na exposure na usijue matukio ya hawa vigogo? Huku mitaani tunaishi nao wangapi? Wamejengewa mijumba na watoto wazalishwa na walaa hawana kelele kama hao slay queens. Na hao wanawake wazuri mnoo. Wametulia tulio..Anaona Mayor kama nini sijui.. Na huku hao ndiyo wanaongoza kula Dada poa wa mjini..
Sent using Jamii Forums mobile app