Darmian
JF-Expert Member
- Oct 1, 2017
- 17,289
- 46,624
Matatizo ya upumuaji?[emoji23][emoji23][emoji23] nauguza mkuu. Furaha hizi ni za mgonjwa wangu kuendelea vyema
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Matatizo ya upumuaji?[emoji23][emoji23][emoji23] nauguza mkuu. Furaha hizi ni za mgonjwa wangu kuendelea vyema
[emoji28]nitashukuru sana, nelson mandela bay, kwadwesi-mpetha street, elekeza kuanzia hapo mkuu
Hakikisha tako lakubembea kweli kweli naliona nitalipiga picha nililete hapa
Usichokilua ni kwamba Mayor ni diwani so anafika sana kitaa kwa majukumu yake, hivyo vitu vizuri anaviona pia, kumbuka anayoa saluni moja na jamaa yetu huyu, pamoja na maelezo yoote haya we bado hujaelewa Khumbu alikuwa pisi kali? Akili yako iko nyuma sana kwa kudhani umekulia Dar hivyo unajua kila kitu. Hapa Dar kuna mawaziri wanapiga mpaka 3 some na watoto wa kawaida kabisaaaaa, nini Mayor?Nimezaliwa dar na kukulia dar... Pia hv big exposure outside of Tanzania and African continent.. So usione kama. Nabahatisha. Tena mayor kwa nchi kama South Africa iliyo na high rate of ujambazi... Unadhani mayor atakuwa kama mayor wako akina masaburi au kimbisa. Stop joking na kufanya vitu rahisi rahisi. Eti mayor wa Durban ana share dem na wauza mitumba na madereva wa daladala
But still ni mayor... Haileti sense. Kabisa. Yaani mayor wa jiji la Durban akawe na chokoraa asiweza hata kujinunulia breakfast ya mama mtilie. Yaani mayor ana share dem na wauza mitumba? Yaani kibongo bongo ni mayor wa Dar ana share dem na wauza mitumba wa karume. Huku kapaki v8 lake. Kwanza huyo mayor anakutana wapi na kidemu kama hicho. Mayor wa jiji la Durban sio mchezo wandugu... Anyway watanzania tumezoea kudanganywa. Its ok
Mayor anagonga dem wana share na wauza mitumba na madereva wa daladala..... Achane utani nyie.
Kwa hiyo tumefikia episode ya ngapi? Sema strory tamu sanaNdio najifunza apa we mzee
Kwa wenzetu walioendelea vyeo vya serikali ni dhamana tu, na sio utajiri kama huku kwetu.. na wala hawajimwambafay kama wa huku kwetu... Na hapo cha ajabu ni kipi mayor kutembea na demu wa kitaa?? Pia kumbuka jamaa amesema huyo demu pia alikuwa anamilikiwa na mmiliki wa daladala..hivyo uzuri alikuwa nao na pia suala la kutanua alilijua..
Mimi najua hata episode ya ngapi nasoma tu vinavyoendelea we mzeeKwa hiyo tumefikia episode ya ngapi? Sema strory tamu sana
Nimefurahi kuwaona malegend hapa BelindaJacob na wengineo
Sijui kwa nn Sky Eclat hajanitag?
Akili zako zimelikiwa kwenye box ama chokora kwako ni mtu wa aina gani, inaelekea hauja fatilia kabisa story na Kama umeifatilia haujaielewa, unajiabishaa tuBut still ni mayor... Haileti sense. Kabisa. Yaani mayor wa jiji la Durban akawe na chokoraa asiweza hata kujinunulia breakfast ya mama mtilie. Yaani mayor ana share dem na wauza mitumba? Yaani kibongo bongo ni mayor wa Dar ana share dem na wauza mitumba wa karume. Huku kapaki v8 lake. Kwanza huyo mayor anakutana wapi na kidemu kama hicho. Mayor wa jiji la Durban sio mchezo wandugu... Anyway watanzania tumezoea kudanganywa. Its ok
Shemeji niko hapa kisirisiri kaka yako asinione.Kwa hiyo tumefikia episode ya ngapi? Sema strory tamu sana
Nimefurahi kuwaona malegend hapa BelindaJacob na wengineo
Sijui kwa nn Sky Eclat hajanitag?
Madereva wa dala dala hapa sauz sio machafu kama TZ,hii ni industry inayoheshimika sana. Mtu ya ukisoma dereva wa dala dala unapiga picha akilini kama madereva wa basi za Tandale.Sijui kama unanielewa... Changudoa ana maisha.... Kajipanga barabarani anajiuza.... Wewe ongelea dem anaishi yuko soko la mitumba tandika mwisho... Hajala. Hana hela ya mama mtilie... Kazalishwa na madereva wa daladala... Vuta tu hiyo picha how she look like
Kama ulikaa darasani itakuwa ulikuwa unaelewa kwa shida sana au ulipiga chini asubuhi tuMayor anagonga dem wana share na wauza mitumba na madereva wa daladala..... Achane utani nyie.
Mbona umeniangusha sana mkuu.. unaishi wapi? What is ur cyle? Labda ni vile hujajua hio dunia inavyoenda. Yaanii ungejuaaa...
Sijui kama unanielewa... Changudoa ana maisha.... Kajipanga barabarani anajiuza.... Wewe ongelea dem anaishi yuko soko la mitumba tandika mwisho... Hajala. Hana hela ya mama mtilie... Kazalishwa na madereva wa daladala... Vuta tu hiyo picha how she look like
Seme wazee tunawaheshimisha mjiniMimi najua hata episode ya ngapi nasoma tu vinavyoendelea we mzee
Umekuwa Khumbu sasa shemeji? Nan mayor?Shemeji niko hapa kisirisiri kaka yako asinione.
Exactly... kwenda uraya, karifonia si ujanja... si tunawaonaga na bana.. ni kama unijie na raba zako za all stars hapa sijui supra wakati nimewaona bibi zangu wakifagiliaga mbolea miaka ya early 90s[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Basi uende kwa Khumbu.
Ila exposure sio kutembelea maeneo tofauti nje ya nchi yako pekee. Exposure ni mabadiliko ya kimtazamo na fikra kutokana na mambo uliyojionea duniani na ukawa mtu wa mfano na si mwenye kiburi. Unaweza kutembelea nchi nyingi lakini bado ukawa primitive tu.
Sema wazee tuna heshima zetu mjiniMimi najua hata episode ya ngapi nasoma tu vinavyoendelea we mzee