Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimeshangaa sana umemuita mwamba,Huyu ni kima sio mwambaMkuu huyu jamaa kwa maksudi anapotosha watu humu. Hakuna sehemu mimi nimesema Khumbu alikuwa anagongwa na madereva wa daladala. Khumbu alikuwa amezaa na boss wa daladala. Maana hiyo kama mtu anamiliki daladala kwa nchi kama South africa maana yake ana hela za kutosha. Sasa mtu ni mfanyabiashara wa daladala utasema hana hela? Jamaa kaniangusha sana. Anaharibu uzi wangu huyu mwamba.
PoleHapana meku. Operation
[emoji1787]Tuendelee kujifukiza
hahaha ukishaijua nijuze hata PM aisee manake naifikiria sipati jibu ikojeHii staili ya kunguta siafu ndio Ile diamond anasemaga kuifinyia kwanndani
Vipi progress?Tangu juzi najifunza style ya kukunguta ..kiuno hoi[emoji23][emoji23][emoji23]
Acheni khumbu aitwe khumbu
Sindo nawashangaagaa[emoji23]Af hata sio mambo yangu hayo ya kupenda mzigo ulioninginia[emoji23][emoji23].
Sema dada zangu nyie "msio jaaliwa" tutavumiliana tu kikubwa uhai.
[emoji120][emoji120]Pole
Una akili za kitoto cjui ushamba. Mi kuna mshikaji alikuwa anapiga demu mmoja na kiongoz mkubwa tu wa nchi hii. Tena huyo kiongozakampa huyo demu diplomatic pasport kabisa awe anasafiri muda wowote nae. Lakin mshikaji alikuwa anapiga tu. Kwenye mapenz hakunaga cha cheo chief.But still ni mayor... Haileti sense. Kabisa. Yaani mayor wa jiji la Durban akawe na chokoraa asiweza hata kujinunulia breakfast ya mama mtilie. Yaani mayor ana share dem na wauza mitumba? Yaani kibongo bongo ni mayor wa Dar ana share dem na wauza mitumba wa karume. Huku kapaki v8 lake. Kwanza huyo mayor anakutana wapi na kidemu kama hicho. Mayor wa jiji la Durban sio mchezo wandugu... Anyway watanzania tumezoea kudanganywa. Its ok
Mkuu kabla ya kupata hii exposure kwann usingejifunza walau matumizi ya alama za uandishi?Nimezaliwa dar na kukulia dar... Pia hv big exposure outside of Tanzania and African continent.. So usione kama. Nabahatisha. Tena mayor kwa nchi kama South Africa iliyo na high rate of ujambazi... Unadhani mayor atakuwa kama mayor wako akina masaburi au kimbisa. Stop joking na kufanya vitu rahisi rahisi. Eti mayor wa Durban ana share dem na wauza mitumba na madereva wa daladala
😀😀😀😀EmbuuuVipi progress?
Aisee, we jamaa hebu tulia.Nimezaliwa dar na kukulia dar... Pia hv big exposure outside of Tanzania and African continent.. So usione kama. Nabahatisha. Tena mayor kwa nchi kama South Africa iliyo na high rate of ujambazi... Unadhani mayor atakuwa kama mayor wako akina masaburi au kimbisa. Stop joking na kufanya vitu rahisi rahisi. Eti mayor wa Durban ana share dem na wauza mitumba na madereva wa daladala
Meya mwenye Status kubwa ni yule wa Tamthiliya za kifilipino tu.Halafu huyu jamaa anayejiita Hesabu900 ni bonge la mshamba. Mayor ni diwani tu (ward councilor). Na yeye ni binadamu kama wengine na anavutiwa na pisi kali pia. Mayor alikuwa anakuja workshop kupiga misele kama raia wengine tu japo alikuwa na body guard. Kwa hiyo pisi kali kama Khumbu akikutana nayo kitaa lazima aiimbishe. By the way South africa kuwa na gari sio issue, kila mtu mwenye kipato au mwenye kazi ana gari. Hata hao anaowaita wauza mitumba wa Karume wanauza mitumba huku wamepaki magari ya maana pembeni. Mwambieni aache ushamba, Khumbu kuwa na gari sio big deal, angeweza hata kujinunulia mwenyewe kama angetaka. South africa wanatengeneza magari na kuna hela ya kutosha mpaka vijijini huko. Huko vyuma havijakaza kama huku bongo. Kifupi South africa kuwa na gari sio issue. Karibia kila familia ina gari. Hiyo exposure anayoiongelea sijui ni ipi kama anaona mayor kutembelea V8 ni kitu cha ajabu kwa nchi kama South africa. Shame on him!
Pleeeeeease[emoji28][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Embuuu
Si unaona mambo yao , wanaringishia makalionimcheka mpaka machozi umenikumbusha mbali sijui wanakulaga nini wale jamaa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]. we jamaa una dhambi sana
😅you made my day, umenichekesha sana leo, siijui sana port elizabeth ila nasikia kuna sehemu nyingi tu watoto wanakuwepo, yan bado lile swala la wababa kuwa na mitako mikubwa linanichekesha [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kujifunza bila kuwa na mwl....? Au unakung'uta siafu na kuna anayekusaidia kuwatoa siafu? 😆😆😎Ndio najifunza apa we mzee
Kweli kabisa chiefMkuu huyu jamaa kwa maksudi anapotosha watu humu. Hakuna sehemu mimi nimesema Khumbu alikuwa anagongwa na madereva wa daladala. Khumbu alikuwa amezaa na boss wa daladala. Maana hiyo kama mtu anamiliki daladala kwa nchi kama South africa maana yake ana hela za kutosha. Sasa mtu ni mfanyabiashara wa daladala utasema hana hela? Jamaa kaniangusha sana. Anaharibu uzi wangu huyu mwamba.