Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 154,929
- 459,607
Wa kunisaidia yupo mkuu usijali kabisaKujifunza bila kuwa na mwl....? Au unakung'uta siafu na kuna anayekusaidia kuwatoa siafu? [emoji38][emoji38][emoji41]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wa kunisaidia yupo mkuu usijali kabisaKujifunza bila kuwa na mwl....? Au unakung'uta siafu na kuna anayekusaidia kuwatoa siafu? [emoji38][emoji38][emoji41]
Yule jamaa anatupotezea umakini na muda wetu katika story yetu pendwa achana nae wengi tumekuelewa tuendelee kiongozi. Watu much know kama yule jamaa kwenye jamii yoyote hawakosekani lakini tukishawajua tunawaona washamba...Yaani hata hajui kuwa South Africa ni miongoni mwa nchi zenye uchumi mzuri duniani? Stupid achana nae mwache abaki na umasikini wake.Halafu huyu jamaa anayejiita Hesabu900 ni bonge la mshamba. Mayor ni diwani tu (ward councilor). Na yeye ni binadamu kama wengine na anavutiwa na pisi kali pia. Mayor alikuwa anakuja workshop kupiga misele kama raia wengine tu japo alikuwa na body guard. Kwa hiyo pisi kali kama Khumbu akikutana nayo kitaa lazima aiimbishe. By the way South africa kuwa na gari sio issue, kila mtu mwenye kipato au mwenye kazi ana gari. Hata hao anaowaita wauza mitumba wa Karume wanauza mitumba huku wamepaki magari ya maana pembeni. Mwambieni aache ushamba, Khumbu kuwa na gari sio big deal, angeweza hata kujinunulia mwenyewe kama angetaka. South africa wanatengeneza magari na kuna hela ya kutosha mpaka vijijini huko. Huko vyuma havijakaza kama huku bongo. Kifupi South africa kuwa na gari sio issue. Karibia kila familia ina gari. Hiyo exposure anayoiongelea sijui ni ipi kama anaona mayor kutembelea V8 ni kitu cha ajabu kwa nchi kama South africa. Shame on him!
ya kweli hayo na wewe inafinya kwa ndani?Msasha[emoji23][emoji23]
Unavyomtaka khumbu sisi dada zako tunayo aliyo nayo khumbu? Acha roho mbaya
Bro uyo jmaa Ana Iq zero Fara uyo unbshn nae nn eti mayor akat wabunge wnchkua watoto wa udom wshare na wahuni na smtyme wnkaziwa dem kmuelewa mhun ndo maan mashoga dar wengi anjsifu ujing kbxUnavyozidi kujitetea ndio unazidi kuonekana kichwani kumejaa kinyesi laini badala ya ubongo. Kubali tu ulikua hujui kua mayor ni diwani tu...kwa ushamba wako ulikua unajua ni Rais sijui...alafu kwani inashindikana nini mwenye cheo ku date chokoraa...wewe mbona unaliwa na mashamba boy na una cheo
Huyu hesabu 900 nikilaza hana hesabu yoyote.Halafu huyu jamaa anayejiita Hesabu900 ni bonge la mshamba. Mayor ni diwani tu (ward councilor). Na yeye ni binadamu kama wengine na anavutiwa na pisi kali pia. Mayor alikuwa anakuja workshop kupiga misele kama raia wengine tu japo alikuwa na body guard. Kwa hiyo pisi kali kama Khumbu akikutana nayo kitaa lazima aiimbishe. By the way South africa kuwa na gari sio issue, kila mtu mwenye kipato au mwenye kazi ana gari. Hata hao anaowaita wauza mitumba wa Karume wanauza mitumba huku wamepaki magari ya maana pembeni. Mwambieni aache ushamba, Khumbu kuwa na gari sio big deal, angeweza hata kujinunulia mwenyewe kama angetaka. South africa wanatengeneza magari na kuna hela ya kutosha mpaka vijijini huko. Huko vyuma havijakaza kama huku bongo. Kifupi South africa kuwa na gari sio issue. Karibia kila familia ina gari. Hiyo exposure anayoiongelea sijui ni ipi kama anaona mayor kutembelea V8 ni kitu cha ajabu kwa nchi kama South africa. Shame on him!
Mimi ni choka mbaya ila napiga ile mamaUsishindane na mwanamke period,alafu uo uzuri wa khumbu ni rahisi kumvutia hata mayor ye anawaagiza watu tu dk mbili anampata tena anajilia vuzuri ,ila choika mbaya kumtfuna moyor wa kike sio rahis
Lete ya kwako yenye uhalisia SHANGAZIHii ni hadithi kama hadithi zingine.... Haina uhalisia.. Yaani mwanamke atoke kwenye uchokoraa wa kukosa hata hela ya kula asubuhi.... Anagongwa na madereva daladala... Hadi kufikia sijui kufanyakazi Bank.... Hadi kumiliki gari katika muda mfupi huo. Never. Hakuna uhalisia.
Heeeeh, shangazi tena?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Lete ya kwako yenye uhalisia SHANGAZI
Acha basi kumshtua huyo mjinga atakuja nitolea povu bure!!😀Heeeeh, shangazi tena?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu umenitolea povu la kutosha mpaka nimejisikia vibaya. Unajua nini, uandishi wa kusummarize nahisi siuwezi. Kama umeisoma episode niliyoishia unaweza kuona niliahidi kusummarise ila nilishindwa. Labda ambacho sikukiongelea kwa kina ni kile kipengele Khumbu alipokuja na ndinga nini kilitokea baada ya kuingia ndani ya mjengo, maana nilirukia issue ya kutaka kuingia mikononi mwa police ambayo nimeielezea kwa kina bila kusummarise kama nilivyokuwa nimepanga. Anyway nafikiria kupata muda niiandike hii habari kwa kutumia laptop badala ya simu. Niandike matukio mengi ya kutosha then niyatupie hapa msome mpaka mhitaji kwenda mapumziko. Baada ya Khumbu kuanza kudate na Mayor nafikiri nahitaji kupaelezea kwa kina, pia mwisho wa mahusiano yetu, na siku naagana naye kurudi Tanzania napo ni kipengele kinachotoa machozi ambacho ningependa nikiielezea kwa mapana yake.