miss pablo
JF-Expert Member
- Jul 9, 2018
- 5,411
- 11,025
Awee[emoji7]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Khumbu wa gogo la mboto, mambo?Awee[emoji7]
Jamani nilimuona khumbu humu ila nashangaa amenipote ghafla😉😉
MmmmhAwee[emoji7]
Tupo pamoja, ikiwezekana arukie hapoKwenye mwendelezo usisahau kukazia hapo.
Kama ya bataHiyo chura mbona kama ndogo
Konda alisema chura ya khumbu inaning'inia chini
Tukutane kesho hapa[emoji1787][emoji122]Acha nipunguze mzigo kidogo maana kisa bado ni kirefu. Nilikuwa nimepanga nikiendeleze kesho lakini nimeona kuna matukio mengi mngependa kuyasikia.
Haya twende kazi.
Baada ya kupata hiyo msg akisema I will see you in court nikaona hapa naweza kujikuta matatani kimasihara sihara tu. So nikawa nasubiria kukuche ili nijue kama natumiwa wazee waje wanikamate au la. Kutokana na hofu ya kukamatwa sikutaka tena kumtafuta. Niliamua kukaa kimya kwanza unless yeye ndio aanze kunitafuta. Roho iliendelea kuniuma kumkosa Khumbu maana kama mpaka kafikia hatua ya kunipeleka mahakani it means she is fed up with me. Hivyo chance ya kurudiana itakuwa ndogo sana. Nilienda chuo huku nikiwa nasikilizia kama pira litatia timu chuoni. Muda ukazidi kwenda bila kupigiwa simu au kupata msg kutoka polisi. Nikaona alikuwa anatishia tu lakini nilikuwa bado nina wasiwasi.
Hali ya kutokutafutana ilidumu kama mwezi au miezi miwili (sikumbuki vizuri maana ni muda sasa).
Siku moja nipo town, nikaamua acha niingie shopping mall ya hapo workshop, lahaulah! Ile natembea kwenye passage ya kuelekea kwenye supermarket moja inaitwa Pick n Pay kwa mbele kama meter 100 hivi nikamuona demu mkali anakuja uelekeo wangu yaani tunakutana akiwa na jamaa mmoja hivi. Kipindi hicho ilikuwa kipindi cha winter, huyo demu alikuwa amevaa jeans dark blue, boot flani ndefu zinazovaliwa kipindi cha winter, kwa juu kavaa jacket flani limemkaa vizuri. Unajua mwanamke mzuri ukimuona hata kwa mbali unaona tu hiyo pisi ni kali. Kwa sababu tulikuwa tunakutana haikuchukua hata sekunde 5 kung'amua kumbe hii pisi kali ni Khumbu, dah! Nilitamani nile u-turn ya nguvu ili nisikutane naye but it was too late. Khumbu bana alikuwa na jamaa wamezungushiana mikono viunoni huku wakitembea taratibu wanakula sijui vitu gani, walikuwa wanatoka pick n pay. Kumbe na yeye alikuwa ameniona maana tulipokuwa tunapishana alionekana kama anasita hivi kutembea huku tukiwa tumegonganisha macho hadi yule jamaa nikamwona kama anamsubiria dizaini flani hivi maama ni kama alipunguza mwendo waliokuwa wanatembea. Basi tukaishia kuangaliana, Khumbu na msela wakaendelea na safari yao. Hapo mimi akili ilivurugika kabisa,ghafla nikajikuta naanza kulengwa lengwa na machozi. Nikatoka nje ya mall nikaenda kwenye park (garden) nikakaa nikaanza kulia. Machozi yalikuwa yanatiririka tu bila kupenda. Baadae nikajizoazoa na kuanza safari ya kurudi nyumbani. Ila baada ya hilo tukio kuliona nikajiapiza Khumbu lazima nimle tena, hata kama sio kummliki jumla lazima nimle hata kwa mara ya mwisho, nikimpata nitamfanyia kitu ambacho hajawahi kufanyiwa, nitamla hata vile visivyoliwa. It is just a matter of time.
Unalizwa mapenzi tena we jamaa vipi ?Acha nipunguze mzigo kidogo maana kisa bado ni kirefu. Nilikuwa nimepanga nikiendeleze kesho lakini nimeona kuna matukio mengi mngependa kuyasikia.

Hellowkhumbu