Stori nzuri,nimesoma episodes zote kuanzia saa kumi na moja jioni mpaka saa tano usiku wa jana nikawa nimehitimisha
Mzee Konda,,Khumbu alikupenda for real,pamoja na mambo mengine mengi, kile kitendo cha kufiwa na Bibi yake afu akakujulisha na ukaenda ukamkuta yupo na ndg,zake kinaonyesha alikuwa na hisia za kweli juu yako,alijua wewe ndo mfariji wake
Kwa namna ninavyoona ingekuwa siyo kifo kukatisha uhai wake, basi Khumbu kuna siku angetia timu kwenye ardhi ya Tz na labda angewazidi kete Dada zetu mkaanzisha familia
Ushauri,ikitokea ukapata safari ya kwenda South, tafadhali usiache kwenda kuona nyumba ya milele aliyolala shemeji yetu Khumbu
Kuhusu picha ya Khumbu,nakazia