Jinsi Marekani ilivyosaidia kuondoa utawala wa marais kadhaa duniani na mafanikio iliyoleta katika nchi hizo

Xi Jinping

JF-Expert Member
Joined
Jun 14, 2023
Posts
9,548
Reaction score
28,817
20260103_224917.jpg

images (14).jpeg

images (15).jpeg

images (17).jpeg

EigczWBWAAEFe39.jpg

images (18).jpeg
 
Acha baadhi ya Wavenezuela warukeruke tu hapo mjini Caracas ila mbeleni wataelewa kuwa wamedandia mtumbwi wa vibwengo
Heri kukaa kwenye mtumbwi wa vibwengo kuliko kukaa na madikteta wauaji kama chura wa Tanzagiza,yanayofira,lawiti,baka,teka na kuua na tukumbuke yanajipachika madarakani kwa mtutu wa bunduki na bado yaliua raia elfu 23 plus,kweli madikteta kama haya yaachwe yaendelee kuua,huu si ushenzi na upumbafu
 
Marekani ni muhuni tu, anaiba rasilimali za watu.
Imagine kuna mataifa yanaiba na kupora kwa watu ili taifa leo liendelee halafu sisi tuna viongozi ambao wanaiba mali za nchi, wanafanya ubadhirifu ili wao binafsi waendelee, wako radhi kuuza nchi mradi wao wapate.
Viongozi wetu wana ujanja ujinga...
 
Waulize Walibya walipotoka na walipo wanachagua wapi
 
Marekani ni muhuni tu, anaiba rasilimali za watu.
Imagine kuna mataifa yanaiba na kupora kwa watu ili taifa leo liendelee halafu sisi tuna viongozi ambao wanaiba mali za nchi, wanafanya ubadhirifu ili wao binafsi waendelee, wako radhi kuuza nchi mradi wao wapate.
Viongozi wetu wana ujanja ujinga...
Kwa Marekani ni ili matajiri wachache waneemeke si umeona Elon Musk na matajiri wengine walivyompongeza Trump. Chevron na wenzao wanacheka tu
 
Heri kukaa kwenye mtumbwi wa vibwengo kuliko kukaa na madikteta wauaji kama chura wa Tanzagiza,yanayofira,lawiti,baka,teka na kuua na tukumbuke yanajipachika madarakani kwa mtutu wa bunduki na bado yaliua raia elfu 23 plus,kweli madikteta kama haya yaachwe yaendelee kuua,huu si ushenzi na upumbafu
Misguided
 
Duh. Asalaleheeee
 
Mkuu kwako wewe ni bora waneemeke wachache waue wafire na kuteka watu kwako ni sawa tu.
Ila USA kuwakamata wauaji kwako ni kosa na kwamba haifai?

Kuna tofauti gani hapa viongozi ndo wezi na mafisadi kuliko hata USA yenyewe. Agalia enzi za ukoloni wakoloni wamejenga mahospital yote makubwa hapa nchini ccm wao wana miaka60+ kazi yao kuiba tu na kujinufaisha wao wenyewe.
 
Nao, kuna siku utaondoka
Umesema vyema

Kabla ya America zilikuwepo superpowers mfano the kingdom of Egypt, Persian Empire, Babylon Empire, Roman Empire, British Kingdom

Dola zote hizo zilianguka. It's a matter of time, empires rise and fall
 
Mkuu kwako wewe ni bora waneemeke wachache waue wafire na kuteka watu kwako ni sawa tu.
Ila USA kuwakamata wauaji kwako ni kosa na kwamba haifai?

Kuna tofauti gani hapa viongozi ndo wezi na mafisadi kuliko hata USA yenyewe. Agalia enzi za ukoloni wakoloni wamejenga mahospital yote makubwa hapa nchini ccm wao wana miaka60+ kazi yao kuiba tu na kujinufaisha wao wenyewe.
Trump kasema ni ili wacontrol uchimbaji wa mafuta makampuni ya Marekani yaneemeke

Hakuna sehemu amesema wamefanya uvamizi kwa lengo la kuwaneemesha Wavenezuela

It's all about oil nothing else, hiyo ndio imperialism bro. Imperialism is the epoch of financial capital and monopolies

Tutakuwepo
 
Ni kweli mzee hatutaki yatokee hayo ila
Potelea mbali, viongozi wetu ndio watatufikisha huko
Na sisi wenyewe ndio tunapaswa tuwatoe viongozi wa hovyo

Kukishakuwa na mkono wa taifa la Magharibi kwenye kuondoa uongozi mbovu kwenye nchi zetu ujue lazima wajilipe kwanza kwa kuchota mali zetu

Na mbaya zaidi watamweka kibaraka wao wafaidike. Na ndio maana wanampiga vita sana Traore wa Burkina Faso

Na watatuacha na migogoro ya kudumu ndani ya nchi, unafikiri kwa nini DRC vita haijawahi kuisha na kuna Westerners pale?

Ndio maana huwa nawaelewa sana Wachina na sera yao ya kutoingilia masuala ya kisiasa ya ndani ya mataifa mengine
 
Acha kufanya spinning

Maduro Uchaguzi wa 2024 alijitangaza ni mshindi wakati alishindwa.

Mpinzani wake ndio anaenda kuwa raisi. Acheni propaganda bana!

Trump kasema ni ili wacontrol uchimbaji wa mafuta makampuni ya Marekani yaneemeke

Hakuna sehemu amesema wamefanya uvamizi kwa lengo la kuwaneemesha Wavenezuela

It's all about oil nothing else, hiyo ndio imperialism bro. Imperialism is the epoch of financial capital and monopolies

Tutakuwepo
 
Wewe jipe moyo tu.....Kwa hiyo unaona Samuya anafaa? Kweli wewe akili yako haina akili. Kwenye vita lazima kuharibike halafu tutajenga tu. Wewe unatoa mifano hasi tu. Mbona Luanda, Angola leo ni mji mzuri na wa kuvutia na mafuta yanachimbwa vizuri tu. Acha kudanganya watu. Nafuu tuwe na magofu na kuwa na uhakika wa maisha kuliko kutekwa na hilo limama, dubwana lenye kitambi kama gunia.
 
Back
Top Bottom