China na Russia, kelele nyingi hawawezi lolote. USA ni bingwa......Poleni ninyi mnaodanganywa na hao wapumbavu wenzenu. Hamuiwezi USA.Xijipimping ulikua wapi mpaka maduro wakanyakua kama fala?
Kwamba hakuna kilichoongezeka Mkuu..... Hivi hua mnawaza kwa kutumia nini.Mkuu kwako wewe ni bora waneemeke wachache waue wafire na kuteka watu kwako ni sawa tu.
Ila USA kuwakamata wauaji kwako ni kosa na kwamba haifai?
Kuna tofauti gani hapa viongozi ndo wezi na mafisadi kuliko hata USA yenyewe. Agalia enzi za ukoloni wakoloni wamejenga mahospital yote makubwa hapa nchini ccm wao wana miaka60+ kazi yao kuiba tu na kujinufaisha wao wenyewe.
Sawa tumeshapoa bossChina na Russia, kelele nyingi hawawezi lolote. USA ni bingwa......Poleni ninyi mnaodanganywa na hao wapumbavu wenzenu. Hamuiwezi USA.
Wamasai wamefukuzwa ili waje waarabu wewe unanufaika na nini?Kwamba hakuna kilichoongezeka Mkuu..... Hivi hua mnawaza kwa kutumia nini.