Jinsi Marekani ilivyosaidia kuondoa utawala wa marais kadhaa duniani na mafanikio iliyoleta katika nchi hizo

Xijipimping ulikua wapi mpaka maduro wakamnyakua kama fala?
 
Kwamba hakuna kilichoongezeka Mkuu..... Hivi hua mnawaza kwa kutumia nini.
 
Bora tutawaliwe na mabeberu kuliko hawa wazawa wanaoua wazawa wenzao
wanakula mema ya nchi huku sisi tukiendelea kuwa mafukara

Mwenye namba ya Trump plz!
 
Kwamba hakuna kilichoongezeka Mkuu..... Hivi hua mnawaza kwa kutumia nini.
Wamasai wamefukuzwa ili waje waarabu wewe unanufaika na nini?

Madini yanauzwa wakina Abdul wanaendesha magari ya anasa wewe unanufaika na nini?

Leo hii mama akienda kliniki analipia hela

Madawa hamna
Maji hamna
Lakini wewe unaona sawa. Nikuulize wewe unafikiria kwa kutumia nini?

Kama watu wachache tu wanafaidi wananchi zaidi ya milioni 60 wanatabaabika kwa nini isiwe hivyo?
 
USA hawezi tia mguu Tanzania kamwe ma BFF wake ndo wanauziwa mali za umma

Qatar, Oman, UAE na Saudi Arabia, wewe kwaakil yako unazani nyinyi wapumbavu wa kikafir na hao waarabu kobaz nani wa maana kwa USA?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…