Webabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2010
- 8,870
- 14,258
Silaha zinazotumika kuua Gaza tangu mwanzo mpaka mwisho karibu zote zimetengenezwa Marekani na hata kuingia Rafah white house imetetea kuwa hakuna kibaya kilichofanyika .
Ubaya wa uvamivi wa Gaza na uporaji wa ardhi unaofanywa maeneo mengine ya Palestina tena kupingana na amri za mahakama na maazimio ya umoja wa mataifa ni vitu vinaonekana wazi wazi.
Kama Marekani imeshindwa kuzuia basi taifa hilo halina sifa yoyote ya kuamrisha wema na kuhimiza mataifa mengine yafuate wanayoyataka.Kila mmoja duniani afuate anachoona kina manufaa kwake.