Jinsi mbunge Ramadhan Kihiyo alivyojiuzulu baada ya kashfa ya kufoji vyeti

Jinsi mbunge Ramadhan Kihiyo alivyojiuzulu baada ya kashfa ya kufoji vyeti

Hivi wakisha Mmbashitesha,ataendelea kuwa na walinzi,manake huku nje watu wana hamu nae,kama futari ya mfungo tatu.🙂
Wasije mfuturu.
Jambo usilolijua ni sawa na usiku wa kiza kaka...fatilia muvi mpaka mwisho utaelewa sterling ni nani katika muvi hii
 
Mkuu nimeipenda hii, unajua sana kutunza kumbukumbu. Wakati ule nilikuwa sikosi mahakamani kesi za uchaguzi! Mawakili Masumbuko Lamwai, Maira, Mabere Marando Bob Makani walikuwa machachari sana kwenye kesi za aina hiyo!
 
wenye kumbu kumbu mtakumbuka ramadhan ally kihiyo alikuwa mgombea ubunge jimbo la temeke kwenye uchaguzi wa kwanza wa vyama vingi nchini Tanzania mwaka 1995

Kihiyo alibuka mshindi katika uchaguzi huo na kuwa Mbunge wa temeke lakini badae ikagundulika kihiyo kadanganya elimu yake jamaa shule ilikuwa hakuna, hivyo mahakama ikamvua ubunge na kuitisha uchaguzi mdogo ambapo agustine L mrema, akaibuka mshindi
 
MTOTELA,
Haya yanaweza kuwa yanafanana lakini sababu za kujiuzuru hazifanani. Kihiyo alitumia hiyo sifa ya uongo ili ajipatie nafasi ya ubunge. Hawa wote walioteuliwa kuwa wakuu wa mikoa siyo kwa sababu ya vyeti vyao.

Linalofanana na hawa wateule ni lile liliomtokea waziri wa ulinzi wa Germany, ambaye alijiuzuru kwa Ph.D ya copy-paste. Sababu ya kujiuzuru siyo ya sifa ya kazi yake bali ni kwa misingi ya integrity.
 
Unaweza kucheka ukadhani ni utani , lakini hivyo ndivyo ilivyokuwa .
 
6c4e42f87e41f9c0b2d0340e9e77dae3.jpg
 
[emoji23] [emoji23] Leo viroba vya bure acha tulewe huku tunapitia burudani za JF,
Bashite Sir God anakuona. Leta vyeti march tuanze kuchek seriz jipya. Ili kwa sasa linaboa
 
Kihiyo alipotelea wapi?
Nadhani mwenyezi Mungu alisha mvuna.
Hiyo case ilikuwa very interesting manake Kihiyo alikuwa hajui kitu chochote kuhusu DIT/DTC alikodai kwamba alisoma.
Aliukimbia Ubunge kwa shurti ya maswali kortini. Matokeo yake wajinga wakawa wanaitwa Vihiyo.
 
Hii yote itarudia siku Daudi atakapo kutana kizimbani na Lisu/Kibatala
 
Fully kujinyea....tuombee tu kuliko msanga wa kisheria abakie hukohuko tena kimya kimya .
 
Back
Top Bottom