ras jeff kapita
JF-Expert Member
- Jan 4, 2015
- 22,152
- 33,899
Jambo usilolijua ni sawa na usiku wa kiza kaka...fatilia muvi mpaka mwisho utaelewa sterling ni nani katika muvi hiiHivi wakisha Mmbashitesha,ataendelea kuwa na walinzi,manake huku nje watu wana hamu nae,kama futari ya mfungo tatu.🙂
Wasije mfuturu.
he was right.. it can mean anything ahahahahLamwai: What does VTC stand for?
Kihiyo: It is National Committee Centre [laughter]
sitii neno mm
UchocheziHivi wakisha Mmbashitesha,ataendelea kuwa na walinzi,manake huku nje watu wana hamu nae,kama futari ya mfungo tatu.🙂
Wasije mfuturu.
Mkuu unatuvunja mbavu.Hivi wakisha Mmbashitesha,ataendelea kuwa na walinzi,manake huku nje watu wana hamu nae,kama futari ya mfungo tatu.🙂
Wasije mfuturu.
Wamekulipa bei gani
Nadhani mwenyezi Mungu alisha mvuna.Kihiyo alipotelea wapi?
Atoe vyeti kwanzaDavi wampe mafao yake