Jinsi Mike Tyson alivyokaa Miaka 5 bila kushiriki Ngono, wewe ungeweza?

Jinsi Mike Tyson alivyokaa Miaka 5 bila kushiriki Ngono, wewe ungeweza?

Na ilimfanya apigane mapambano mengi kwa muda mfupi mfupi na kushinda hayo mapambano wakati kiuhalisia unatakiwa baada ya pambano moja upumzike kwa kipindi cha muda mrefu kidogo kurudisha stamina na nguvu.

Ukipunguza kufanya mapenzi au kujizuia ina athari chanya nyingi sana kwa mwanaume kuliko kwa upande wa wanawake
 
Nakubali kabisa mkuu
 
Mkuu tunashauriwa wanaume kama una mpango au mkakati wako ni vizuri ukajiepusha na ngono hata kama umeoa,sababu kuna njia za kufanya mwenza wako aenjoy ngono bila ya wewe kumwaga shahawa
Yes, na kwa ambao hatujaoa ndo tunashauri tukae mbali kabisa sema tamaa tu ndo zina tu changanya
 
Hatawahi tokea mwanaume mwingine Kama Tyson mpaka mwisho wa Dunia.

Jamaa Ni mwamba haswaa.
Kwakweli haitawahi kutokea alipewa jina la "The baddest man in the world".
Wanawake na ulevi wa umaarufu vilichangia anguko lake, Ingawa Jamaa alikua Mwamba haswa na signature yake ya "Upper Cut" yaani alikua anashambulia ngumi nyepesi (kwa upande wake) za haraka haraka then anakuja kupiga uppercut moja mtu anaanguka chini.
Mfano Frazier July 1986 alipigwa "Upper Cut" hadi alipoteza fahamu
 
Back
Top Bottom