Yaezekana alitengenezewa mazingira threat ya kwake au wanafamilia serikali hawashindwi kufanya umafia akaona isiwe taabuNdugai alikuwa mkuu wa muhimili, analazimishwa vipi kujiuzulu bila ya kura ya bunge kutokuwa na imani na Spika?
Angekataa kujiuzulu tuone kama wangemvua uanachama...
Tatizo Watanzania tunapenda sana speculations za "inawezekana". Na siwalaumu sana, serikali yetu yenyewe haina uwazi na ina historia mbaya sana.Yaezekana alitengenezewa mazingira threat ya kwake au wanafamilia serikali hawashindwi kufanya umafia akaona isiwe taabu
Ndugai alikuwa mkuu wa muhimili, analazimishwa vipi kujiuzulu bila ya kura ya bunge kutokuwa na imani na Spika?
Angekataa kujiuzulu tuone kama wangemvua uanachama.
Na hata wangemvua uanachama, hilo lingemuondolea ubunge tu, kuwa Spika wa bunge sio lazima uwe mbunge.
Marehemu Dr. Aleck Che Mponda aligombea Uspika bila ya kuwa mbunge.
Ndugai kwa njia moja au nyingine alikubali kujiuzulu yeye mwenyewe.
Kuna mtu anaitwa Preet Bharara, huyu alijuwa US State Attorney for the Southern District of New York, a presidential appointment. Rais Trump alikuwa hampendi, akawa anamfanyia figisu ajiuzulu. Jamaa likasema sijiuzulu ng'o, nataka nione unanifukuza kazi, dunia nzima ijue nimefukuzwa kazi na Trump, sijajiuzulu.
Trump akamfukuza kazi, dunia nzima iksjua Preet Bharara amefukuzwa kazi na Donald Trump.
Kwa nini Ndugai hakusimamia anachoamini na kukataa kujiuzulu mpaka afukuzwe tuone kafukuzwa clearly bila chengachenga?
Chezea wana mtandao wewe hio habari ingine tukiamua jambo letu tunafanya na tunafanyaSpika wa Bunge, Job Ndugai anadaiwa huenda kujiuzulu kwake nafasi ya Spika alilazimishwa na hakujizulu kwa matakwa yake kama ilivyoripotiwa.
"Mbali na mawazo hayo, kuliibuka kauli mitandaoni kwamba kiongozi huyo alijiuzulu kwa kulazishwa, jambo ambalo halikuthibitishwa wala kukanushwa"
Source: Gazeti la Mwananchi
Jinsi ‘mikono’ ya Serikali ilivyotishia uhuru Bunge
Alhamisi, Desemba 15, 2022
Tatizo gani?Tatizo ni katiba.
Tatizo gani?
Katiba ndiyo iliyomlazimisha Ndugai kujiuzulu?
Kuwa spika ni lazima uwe sponsored na Chama cha siasa ata kama wewe si MbungeNdugai alikuwa mkuu wa muhimili, analazimishwa vipi kujiuzulu bila ya kura ya bunge kutokuwa na imani na Spika?
Angekataa kujiuzulu tuone kama wangemvua uanachama.
Na hata wangemvua uanachama, hilo lingemuondolea ubunge tu, kuwa Spika wa bunge sio lazima uwe mbunge.
Marehemu Dr. Aleck Che Mponda aligombea Uspika bila ya kuwa mbunge.
Ndugai kwa njia moja au nyingine alikubali kujiuzulu yeye mwenyewe.
Kuna mtu anaitwa Preet Bharara, huyu alijuwa US State Attorney for the Southern District of New York, a presidential appointment. Rais Trump alikuwa hampendi, akawa anamfanyia figisu ajiuzulu. Jamaa likasema sijiuzulu ng'o, nataka nione unanifukuza kazi, dunia nzima ijue nimefukuzwa kazi na Trump, sijajiuzulu.
Trump akamfukuza kazi, dunia nzima iksjua Preet Bharara amefukuzwa kazi na Donald Trump.
Kwa nini Ndugai hakusimamia anachoamini na kukataa kujiuzulu mpaka afukuzwe tuone kafukuzwa clearly bila chengachenga?
Halafu nani alee familia yake...!!???Ndugai alikuwa mkuu wa muhimili, analazimishwa vipi kujiuzulu bila ya kura ya bunge kutokuwa na imani na Spika?
Angekataa kujiuzulu tuone kama wangemvua uanachama.
Na hata wangemvua uanachama, hilo lingemuondolea ubunge tu, kuwa Spika wa bunge sio lazima uwe mbunge.
Marehemu Dr. Aleck Che Mponda aligombea Uspika bila ya kuwa mbunge.
Ndugai kwa njia moja au nyingine alikubali kujiuzulu yeye mwenyewe.
Kuna mtu anaitwa Preet Bharara, huyu alijuwa US State Attorney for the Southern District of New York, a presidential appointment. Rais Trump alikuwa hampendi, akawa anamfanyia figisu ajiuzulu. Jamaa likasema sijiuzulu ng'o, nataka nione unanifukuza kazi, dunia nzima ijue nimefukuzwa kazi na Trump, sijajiuzulu.
Trump akamfukuza kazi, dunia nzima iksjua Preet Bharara amefukuzwa kazi na Donald Trump.
Kwa nini Ndugai hakusimamia anachoamini na kukataa kujiuzulu mpaka afukuzwe tuone kafukuzwa clearly bila chengachenga?
Mkuu, Watanzania ni WANAFIKI sana! Kwa wakati ule, kelele zilikuwa kila kona za kumtuhumu! Wabunge wengi wakageuka kuwa ni CHAWA wa MWENYE NGUVU kuliko SPIKA.Ndugai alikuwa mkuu wa muhimili, analazimishwa vipi kujiuzulu bila ya kura ya bunge kutokuwa na imani na Spika?
Angekataa kujiuzulu tuone kama wangemvua uanachama
Kwa nini Ndugai hakusimamia anachoamini na kukataa kujiuzulu mpaka afukuzwe tuone kafukuzwa clearly bila chengachenga?
Ndugai alikuwa fisadi na kapiga hela za kutosha sana Bungeni. Who knows? Perhaps alikuwa blackmailed. Uresign na kusepa silently or else..Kwa nini Ndugai hakusimamia anachoamini na kukataa kujiuzulu mpaka afukuzwe tuone kafukuzwa clearly bila chengachenga?
Katiba ya Tanzania haimruhusu rais kumuondoa Spika. Unless avunje bunge na kuitisha uchaguzi mpya kwa namna ambayo hata yeye rais anaenda kuchaguliwa tena.Katiba ya nchi haina "checks and balances" imara kati ya mihimili kama inavyokuwa katika demokrasia zilizo imara. Ni kweli katika nchi zote huwa kuna mhimili uliojichimbia chini zaidi lakini angalau katika demokrasia imara huwa kuna vizingiti ambavyo mhimili huo hauwezi kuvivuka kutokana na jinsi mifumo na taasisi ya nchi hizo ilivyosukwa ku contain "executive overreach".
Katika nchi na katiba hii kiongozi mkuu akitofautiana na mtumishi au kiongozi mwingine yoyote huyo mtu anaweza kuondolewa kwa wepesi sana katika nafasi yake katika wakati wowote kwa njia nyingi sana.
Katiba ya Tanzania haimruhusu rais kumuondoa Spika. Unless avunje bunge na kuitisha uchaguzi mpya kwa namna ambayo hata yeye rais anaenda kuchaguliwa tena.
Sasa katika hili katiba yetu imempa nguvu vipi rais kumlazimisha Spika ajiuzulu?
Kwa ufujaji wa pesa za umma aliofanya hui ujasiri unaotaka aoneshe angeutoa wapi? Ulitaka Mwenzio akanyee debe?Ndugai alikuwa mkuu wa muhimili, analazimishwa vipi kujiuzulu bila ya kura ya bunge kutokuwa na imani na Spika?