MAHANJU
JF-Expert Member
- Aug 26, 2014
- 5,252
- 8,003
Hivi ni taarifa ya Mbunge wa Singida Mashariki Mheshimiwa Miraji Jumanne Mtaturu baada ya kufanya ziara ya kushtukiza katika ujenzi wa kituo cha Afya NTUNTU.
👇👇
Nawasalimu sana wandugu.
Ninaomba niwajulishe jana tarehe 21 November 2022 nilifanikiwa kufika Ntuntu na kukagua Ujenzi wa Kituo cha afya.
Nimekuta Ujenzi awamu ya kwanza almost umekamilika kilichobakia ni kufungwa masink pale maabara na flash doors.
Hapa tulipatiwa 250m.
Nitaambanisha picha
Awamu ya pili
Ujenzi wa majengo matatu
Upasuaji, Jengo la Wazazi na kufulia.
Kweli Ujenzi umesimama wiki ya tatu sasa mafundi hawapo site.
Nilichobaini:
1.Meneja Mradi Mwl Kinunda hakuwa anaishirikisha kamati ya Ujenzi ipasavyo hivyo kuvunja baadhi ya taratiibu za Manunuzi na kusababisha kutojulikana vifaa vilivyonunuliwa kwa mujibu wa muhtasrari maombi kama vilifikishwa vyote kwenye stoo.
2.Mabati yaliyonunuliwa yalikuwa ya migongo mitano badala ya mitano hivyo kusababisha upungufu wa bati 60 hivyi kushindwa kumalizia upauaji jengo la Wazazi na Upasuaji kwa maana hiyo gharama ya Manunuzi ilipungua kwenye bati so kuna salio ambalo halionekani.
3.Kikundi kinachojenga jengo la upasuaji Morning Star cha Makiungu kina maslahi ya mojakwamoja na meneja mradi hivyo kuwa na mgongano wa kimaslahi.
4.Saruji ilinunuliwa mifuko 1300 kwa sasa imebakia mifuko 125 tu.
Ukingalia kazi ilyofanyika hailingani na mifuko inayosemekana imetumika.
5.Frame za milango na Top zake bado hazipo site na Mwenyekiti wa kamati ya ujenzi anasema walijibiwa fedha imekwisha.
6.Kwa vifaa vilivyopo hata ukimuita fundi leo hakuna fedha za kuwalipa.
Haya ndio masuala mkubwa yaliyoibuka kwenye ziara yangu jana.
Nimeshauri nini kifanyike kunusuru mradi huu.
1.PCCB Wafanye uchunguzi haraka na wahusuka wachukuliwe hatua.
2.Ifanyike Evaluation ya mradi kupata thamani ya mradi hadi ulipofikia.
3.Meneja mradi amekosa sifa ya kuendelea kusimamia but alazimishwe kuonyesha fedha na vifaa vinavyopungua
4.Mkurugenzi apeleke msimamizi mwingine ili kusiwepo na kufunika ubovu uliojitokeza ili kuokoa mradi ukamilike kwa wakati ili wananchi waanze kupata huduma .
5.Wote waliohisika wachukuliwe hatua stahiki.
Mwisho niwajulishe DC na DED wameshaanza kuchukua hatua tayari PCCB wamefika Ntuntu kuanza mahojiano na wahusika..
Kwa sasa hii ndio taarifa niliyoikusanya,imani yangu wahusika watachukua hatua za mapema kumaliza utata uliojitokeza mradi ukamilike mapema.