Tangantika
JF-Expert Member
- Aug 12, 2018
- 5,586
- 7,087
Kwa investor sio kwa user.Unaongelea gharama hizo Afrika sio kwao wao. Kwa wao ni gharama ziko cheap kuliko gharama unazokatwa na bank yao na bado wanakupa cashback bonus. Na kumbuka sio lazima utembee na ATM. mimi mfano nina atm ya payoneer toka wanitumie sijawahi hata kwenda kuichukua nilicho nacho ni namba za kadi na CVV na bado naitumia nimeconnect na apps payment za simu.
Narudi, hii huduma kwao haikufaulu kwa sababu haikuweza kutatua chochote haikuwapa sababu ya kwanini wadump huduma walizo nazo kwa ajili ya M-pesa. Hii huduma ilifaulu Afghanistan kwa sababu nao walikuwa na shida kama za kwetu.
Na kumbuka wao wanaprefer kufanya cashless transactions kitu ambacho kadi za benki zinatimiza hilo.
Japokuwa gharama za atm kwetu ziko juu, ila bado ni cheap kuwithdraw 400,000 atm kuliko kuitoa kwa wakala. Hata report ya WB ya mwaka 2018 ilionyesha gharama za hizi huduma kwa mtumiaji ziko juu.
Mfano kuweka huduma ys Mpesa kijiji x ni cheap kuliko ATM machine. Bado ATM inahitaji ulinzi, umeme, services no, wakati mpesa unaondoka na simu yako.
Jambo kubwa ni kutunza tech zao tu hakuna lingine.
Infrastructure zao wanatumia gharama kubwa wakati Mpesa unaatumia mitambo ileile iliokuwepo zamani na huna haja ya internet
Ukifanya critical analysis ni kulinda kampuni zao tu, hayo mengine ni kujifariji tu.