Jinsi mrembo alivofanya niende mahabusu kwa mara ya kwanza

Jinsi mrembo alivofanya niende mahabusu kwa mara ya kwanza

baada ya kuachiwa manzi kanipa pole nyingi then tukaagana mm nikaondoka na yule jamaa yangu maana tunaishi mtaa mmoja lakin polisi tuliambiwa kesho turudi bas kesho ikafika tukarudi tayari ocs alikua ameshapewa maelekezo kwa hyo jamaa wakamlipa demu mara mbili ya waliyochukua then tukaandika maelezo ya kufunga kesi tukaondoka pale nje yukaagana na demu tulikua pia na yule jamaa yangu tukaondoka mm nikarudi kwangu yeye akaenda kula eid
bas mida ya mchana nipo nyumbani yule mrembo ananitext kama nipo home aje bas nikamwambia ibuka akaja tukakaa home akaniomba nguo zangu ili abadilishe nikaagiza misos na majuice tukala pale tukawa tumepumzika sasa kila nikijaribu kuomba mchezo mtoto ananichomolea nimepambana sana bila mafanikio nimeambulia tu kiss na kumshika shika lakin mzigo sikula hadi jion nikamsindikiza ili aende kwao maana yupo kwa wazazi wake lakin maajabu toka jana usiku tumeachana had napoandika uzi huu hapokei simu zangu sasa sijui tatizo litakuwa nn wadau naomba ushauri wenu je niendelee nae au nipige chin msaada tafadhali
Naomba kuwasilisha kwa maoni na ushauri wenu wadau wangu kuhusu huyu mrembo kama niendelee au nipige chini karibuni kwa ushauri
Mkuu wa kituo kakuzunguka bro we siulimpa namba akampigia kashakuwahi
 
Back
Top Bottom