Jinsi mrembo alivofanya niende mahabusu kwa mara ya kwanza

Sauti ya Mamlaka

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2017
Posts
1,779
Reaction score
2,610
habarin wakuu leo nataka nishare na nyie jinsi mrembo huyu alivonifanya niswekwe mahabusu kwa mara ya kwanza katika maisha yangu

ilikua ni siku ya jumapili ya tarehe 30 mwezi march mwaka huu nilipokuwa na mrembo huyu wakuitwa x tulipokua tumetoka kazin mida ya saa mbili kasoro usiku sasa akawa ameniomba nimsindikize ofisi za mabus kwa ajli ya kuchukua mzigo wake basi nikasema sawa

Tukafika hadi ofisi hiyo ya mabus huku mka x tunapokaa sasa mwanadada kumbe mzigo wake alichukua asubuh ya siku hii lakin akawa amelipishwa na kumbe tayari mzigo ulikua umeshalipiwa tayari mind you huyu mrembo wangu ni binti wa kikurya kwa hyo vita ni vita ila kiukwel nampenda sana na ni mrembo pia hela kwao ipo ila ni low key.

Sasa baada ya kuwaelezea hao mawakala wa mabus aliowakuta hapo ofisin wakawa hawamwelewi wanatupiana mpira kana kwamba hawamjui aliyekuwepo ofisin kwao asubuh na aliyechukua hela ya mrembo wangu sasa mashetani ya mrembo wangu wa kikurya yakapanda baada ya kuona wanamletea dharau akawaka nao wakawa wapo busy kuchezea simu muda huo mwamba nipo zangu pembeni nimekaa nasikilizia.

Baada ya muda mrembo wangu wa kikurya akiwa ameshapanic baada ya kutopewa huduma stahiki akampokonya mmoja ya ma agent waliokua mle ofisin sasa mwamba kuona kapokonywa simu akataka kwenda kumrukia mrembo wangu ili amshambulie ndipo niliponyanyuka ili nioneshe umwamba wangu sasa wakati nipo napambana na wale jamaa mrembo wangu akapata upenyo akaondoka na simu ya mmoja wa wale jamaa sasa wale jamaa wakaanza kuzizonga kwamba mm ndio nimemleta demu kwa hyo nimtafute alete simu kumpigia demu huku akiwa ameshapanick anasema yeye hawez kuja baada ya songombingo la pale ofisin kwao wakasema wananipeleka polis niaksema fresh tu maana hakuna baya nilolotenda.

Baada ya kufika polisi kila mtu akatoa maelezo yake bas polisi wakashauri nimpgie ili alete simu then apewe hela yake lakin demu akasema hawezi kuja kuongea na matapeli basi akaja mkuu wa kituo akaomba namba ya yule demu nikampa akampigia huyo mrembo wang lakin akamjibu vibaya ocs wa kituo kwamba anakuja ma ocs mwenzake pia demu ana connection na wakubwa kwa hyo akanambia usijali huwez kulala hapo simu zinapigwa .

Baada ya hapo ocs akasema anataka kuondoka kama manzi haleti simu basi nachoma ndani kumpigia demu anasema usijali yuko anafanya mipango sasa ocs akaamuru nitupwe ndani kwa sabab ya ukaidi wa yule mrembo wangu basi nikatoa vitu vyangu vyote nikakabidhi bas nikatupwa mahabusu kwa mara ya kwanza katika maisha yangu kisa mwanamke ikawa ni historia mpya katika maisha yangu ilikua ni mida yapata saa tatu usiku pia nilimpa taarifa jamaa yangu mmoja akaja hapo kituoni ni zikafanyika taratibu ilinitoke maana demu alirudisha simu.

mule lock up nilikuta kuna watu kumi na mm tukawa 11 ndani ya chumba kidogo sana
wengi wao walikua wamekamatwa kwa makosa ya uzururaji na wengine wanywa gongo wakaanza kuniuliza shida nn hadi nimeingizwa ndani nikashindwa hata kutoa sababu ya kueleweka tukawa tunapiga story hapo ilikua mida ya saa tatu usiku kuelekea saa nne hivi basi yule ndugu yangu akawa amekuja baadae kidogo na yule manz akawa amekuja akaleta simu kwa hyo nikatolewa mule mahabusu kurudi home asee kule ndani watu wamekaa hadi siku tatu hamna chakula wala maji yani ni tabu kweli asee lakin ndio hakuna namna.

baada ya kuachiwa manzi kanipa pole nyingi then tukaagana mm nikaondoka na yule jamaa yangu maana tunaishi mtaa mmoja lakin polisi tuliambiwa kesho turudi bas kesho ikafika tukarudi tayari ocs alikua ameshapewa maelekezo kwa hyo jamaa wakamlipa demu mara mbili ya waliyochukua then tukaandika maelezo ya kufunga kesi tukaondoka pale nje yukaagana na demu tulikua pia na yule jamaa yangu tukaondoka mm nikarudi kwangu yeye akaenda kula eid maana ni sheikh.

Bas mida ya mchana nipo nyumbani yule mrembo ananitext kama nipo home aje bas nikamwambia ibuka akaja tukakaa home akaniomba nguo zangu ili abadilishe nikaagiza misos na majuice tukala pale tukawa tumepumzika sasa kila nikijaribu kuomba mchezo mtoto ananichomolea nimepambana sana bila mafanikio nimeambulia tu kiss na kumshika shika lakin mzigo sikula hadi jion nikamsindikiza ili aende kwao maana yupo kwa wazazi wake lakin maajabu toka jana usiku tumeachana had napoandika uzi huu hapokei simu zangu sasa sijui tatizo litakuwa nn wadau naomba ushauri wenu je niendelee nae au nipige chin msaada tafadhali
Naomba kuwasilisha kwa maoni na ushauri wenu wadau wangu kuhusu huyu mrembo kama niendelee au nipige chini maana kiukweli namkubali au nifanyaje ili nile mzigo hata kimasihara.

karibuni kwa ushauri natanguliza shukrani
 
habarin wakuu leo nataka nishare na nyie jinsi mrembo huyu alivonifanya niswekwe mahabusu kwa mara ya kwanza katika maisha yangu
ilikua ni siku ya jumapili ya tarehe 30 mwezi march mwaka huu nilipokuwa na mrembo huyu wakuitwa x tulipokua tumetoka kazin mida ya saa mbili kasoro usiku sasa akawa ameniomba nimsindikize ofisi za mabus kwa ajli ya kuchukua mzigo wake basi nikasema sawa
Tukafika hadi ofisi hiyo ya mabus huku mka x tunapokaa sasa mwanadada kumbe mzigo wake alichukua asubuh ya siku hii lakin akawa amelipishwa na kumbe tayari mzigo ulikua umeshalipiwa tayari mind you huyu mrembo wangu ni binti wa kikurya kwa hyo vita ni vita ila kiukwel nampenda sana
Sasa baada ya kuwaelezea hao mawakala wa mabus aliowakuta hapo ofisin wakawa hawamwelewi wanatupiana mpira kana kwamba hawamjui aliyekuwepo ofisin kwao asubuh na aliyechukua hela ya mrembo wangu sasa mashetani ya mrembo wangu wa kikurya yakapanda baada ya kuona wanamletea dharau akawaka nao wakawa wapo busy kuchezea simu muda huo mwamba nipo zangu pembeni nimekaa nasikilizia .
baada ya muda mrembo wangu wa kikurya akiwa ameshapanic baada ya kutopewa huduma stahiki akampokonya mmoja ya ma agent waliokua mle ofisin sasa mwamba kuona kapokonywa simu akataka kwenda kumrukia mrembo wangu ili amshambulie ndipo niliponyanyuka ili nioneshe umwamba wangu sasa wakati nipo napambana na wale jamaa mrembo wangu akapata upenyo akaondoka na simu ya mmoja wa wale jamaa sasa wale jamaa wakaanza kuzizonga kwamba mm ndio nimemleta demu kwa hyo nimtafute alete simu kumpigia demu huku akiwa ameshapanick anasema yeye hawez kuja baada ya songombingo la pale ofisin kwao wakasema wananipeleka polis niaksema fresh tu maana hakuna baya nilolotenda.
Baada ya kufika polisi kila mtu akatoa maelezo yake bas polisi wakashauri nimpgie ili alete simu then apewe hela yake lakin demu akasema hawezi kuja kuongea na matapeli basi akaja mkuu wa kituo akaomba namba ya yule demu nikampa akampigia huyo mrembo wang lakin akamjibu vibaya ocs wa kituo kwamba anakuja ma ocs mwenzake pia demu ana connection na wakubwa kwa hyo akanambia usijali huwez kulala hapo simu zinapigwa .
Baada ya hapo ocs akasema anataka kuondoka kama manzi haleti simu basi nachoma ndani kumpigia demu anasema usijali yuko anafanya mipango sasa ocs akaamuru nitupwe ndani kwa sabab ya ukaidi wa yule mrembo wangu basi nikatoa vitu vyangu vyote nikakabidhi bas nikatupwa mahabusu kwa mara ya kwanza katika maisha yangu kisa mwanamke ikawa ni historia mpya katika maisha yangu ilikua ni mida yapata saa tatu usiku pia nilimpa taarifa jamaa yangu mmoja akaja hapo kituoni ni zikafanyika taratibu ilinitoke maana demu alirudisha simu.
mule lock up nilikuta kuna watu kumi na mm tukawa 11 ndani ya chumba kidogo sana wengi wao walikua wamekamatwa kwa makosa ya uzururaji na wengine wanywa gongo wakaanza kuniuliza shida nn hadi nimeingizwa ndani nikashindwa hata kutoa sababu ya kueleweka tukawa tunapiga story hapo ilikua mida ya saa tatu usiku kuelekea saa nne hivi basi yule ndugu yangu akawa amekuja baadae kidogo na yule manz akawa amekuja akaleta simu kwa hyo nikatolewa mule mahabusu kurudi home asee kule ndani watu wamekaa hadi siku tatu hamna chakula wala maji yani ni tabu kweli ase
kaibuni mnipe ushauri wakuu nisije nikapotea njia Mshana Jr Robert Heriel Mtibeli Sky Eclat ndege JOHN Zero Brain Nyani Ngabu GENTAMYCINE
 
habarin wakuu leo nataka nishare na nyie jinsi mrembo huyu alivonifanya niswekwe mahabusu kwa mara ya kwanza katika maisha yangu
ilikua ni siku ya jumapili ya tarehe 30 mwezi march mwaka huu nilipokuwa na mrembo huyu wakuitwa x tulipokua tumetoka kazin mida ya saa mbili kasoro usiku sasa akawa ameniomba nimsindikize ofisi za mabus kwa ajli ya kuchukua mzigo wake basi nikasema sawa
Tukafika hadi ofisi hiyo ya mabus huku mka x tunapokaa sasa mwanadada kumbe mzigo wake alichukua asubuh ya siku hii lakin akawa amelipishwa na kumbe tayari mzigo ulikua umeshalipiwa tayari mind you huyu mrembo wangu ni binti wa kikurya kwa hyo vita ni vita ila kiukwel nampenda sana
Sasa baada ya kuwaelezea hao mawakala wa mabus aliowakuta hapo ofisin wakawa hawamwelewi wanatupiana mpira kana kwamba hawamjui aliyekuwepo ofisin kwao asubuh na aliyechukua hela ya mrembo wangu sasa mashetani ya mrembo wangu wa kikurya yakapanda baada ya kuona wanamletea dharau akawaka nao wakawa wapo busy kuchezea simu muda huo mwamba nipo zangu pembeni nimekaa nasikilizia .
baada ya muda mrembo wangu wa kikurya akiwa ameshapanic baada ya kutopewa huduma stahiki akampokonya mmoja ya ma agent waliokua mle ofisin sasa mwamba kuona kapokonywa simu akataka kwenda kumrukia mrembo wangu ili amshambulie ndipo niliponyanyuka ili nioneshe umwamba wangu sasa wakati nipo napambana na wale jamaa mrembo wangu akapata upenyo akaondoka na simu ya mmoja wa wale jamaa sasa wale jamaa wakaanza kuzizonga kwamba mm ndio nimemleta demu kwa hyo nimtafute alete simu kumpigia demu huku akiwa ameshapanick anasema yeye hawez kuja baada ya songombingo la pale ofisin kwao wakasema wananipeleka polis niaksema fresh tu maana hakuna baya nilolotenda.
Baada ya kufika polisi kila mtu akatoa maelezo yake bas polisi wakashauri nimpgie ili alete simu then apewe hela yake lakin demu akasema hawezi kuja kuongea na matapeli basi akaja mkuu wa kituo akaomba namba ya yule demu nikampa akampigia huyo mrembo wang lakin akamjibu vibaya ocs wa kituo kwamba anakuja ma ocs mwenzake pia demu ana connection na wakubwa kwa hyo akanambia usijali huwez kulala hapo simu zinapigwa .
Baada ya hapo ocs akasema anataka kuondoka kama manzi haleti simu basi nachoma ndani kumpigia demu anasema usijali yuko anafanya mipango sasa ocs akaamuru nitupwe ndani kwa sabab ya ukaidi wa yule mrembo wangu basi nikatoa vitu vyangu vyote nikakabidhi bas nikatupwa mahabusu kwa mara ya kwanza katika maisha yangu kisa mwanamke ikawa ni historia mpya katika maisha yangu ilikua ni mida yapata saa tatu usiku pia nilimpa taarifa jamaa yangu mmoja akaja hapo kituoni ni zikafanyika taratibu ilinitoke maana demu alirudisha simu.
mule lock up nilikuta kuna watu kumi na mm tukawa 11 ndani ya chumba kidogo sana

ITAENDELEA.........
Itaendelea ni ...utapeli
 
Back
Top Bottom