Desierto
JF-Expert Member
- Aug 26, 2019
- 901
- 3,112
Mfano. MBUNGE ambaye atashinda kwa kura za wizi.
Siku hiyo ya uchaguzi maelfu ya watu huingia kwenye mauvu ili mbunge ashinde.
Ataanza mkuu was wilaya na mkurugezi halafu wanafuatia wakuu wote wa vituo vya POLICE halafu wanakuja maaskari wanaosimamia vituo siku hiyo baadae wasimamiza wa vituo, na wengine nililiowasau
Hawa wote watafanya huo uovu ili tu wampe mtu mmoja maisha mazuri wakati wao wakipata pesa kidogo ya maji na bia.
Je? Hawa watu wanakuwa na akili timamu kweli?.