Jinsi ndoa ya Mabeste Ilivyovunjika

Nami nashangaa ingekuwa mwanaume mwingine angemuacha aisee tena wanaume wa dar


Sent using Jamii Forums mobile app

Hivi kuna mtu mbaya duniani kama yule anayefanya hata mazuri uliyoyafanya kuonekana kama ilikuwa ni nguvu zake binafsi !!!..

Lisa kafanya kulipiza ili amchoreshe mabeste kama ni GOOD FOR NOTHING hata kwa ile kampeni ya ugonjwa wake. That's totally bad

Mabeste kamuhangaikia sana regardless yeye ndiye aliyetoa wazo kama anavyosema maana mwisho wa siku ni jitihada na jina la mabeste ndo lilileta pesa. Sio IDEA

Either ways Kuna cha kujifunza
 


Kwa accusations kama hizo ndizo zimekufanya uchukue side yake !!!...

kitu solid nachoona ni mabeste kuanza kuzungumzia ila vingine naona ni kama hear says tu.
 
hapana mbona hata matajiri ndoa zao zina migogoro

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna faida gani sasa ya kuwa na mwanamke kama anakujudge kwa kiasi cha pesa ulicho nacho. Cha msingi si ni kutafuta pesa.... Then unakata mti na kupanda mti..... Yanini kukaa na mtu anaetaka kutumia chako ila hayupo tayari kuwa na wewe unapokuwa mtupu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kazi tunayo...wanawake changamoto baba..
 
Labda nikuambie kitu kimoja tuu mtoa maada, mwanamke akihudumia familia mwezi mmoja tuu basi mtaa mzima watajua [emoji117][emoji117][emoji117][emoji117]FULL STOP [emoji123][emoji109][emoji120][emoji625][emoji419]
Jr[emoji769]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…