Jinsi ndoa ya Mabeste Ilivyovunjika

Mwanamke anadai mpka mahari alitoa hela yeye,hapo inaonekana mabeste ni marioo hajitumi cz huwezi shindwa nunua pete hata ya ten au kulipa mahari
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mke wa Mabeste ana mdomo sana.

Nakumbuka wayback alimdanganya Mabeste ajitoe kwa Hammy B. Na huo ndio ulikuwa mwanzo wa Mabeste kupotea kwenye ramani.

Alimdanganya mwenzie akafulia, sasa hivi kamuacha na kumporomoshea matusi juu.

Wanawake muishi nao kwa akili.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maisha yanaenda resi afadhali katoa gundu!
Binti yangu ikitokea anataka kuolewa ntampa miezi miezi 6 ya kujifikiria kama ntakua hai

Sent using Jamii Forums mobile app
Mwanaume anaweza ishi na mwanamke maisha yake yote bila kuwa na kazi lakini sisi kosa kazi mwanamke awe na kazi utajua kwanini mbuzi alipewa mkia mfupi.
Kuna jamaa yangu flani juzi ananiambia siku hizi mkewe ana mdharau kwasababu hana kazi hana pesa mkewe ndiye ana kazi. Kasahau wakati jamaa biashara zake miaka minne nyuma iko vizuri alikuwa anampeleka ma vacation dubai south anambadiri mausafiri.
 
Alichokisema lisa kikubwa ni kua mabeste ni mvivu sana. Anasubiria mke wake alete yeye sharo ashinde home. Sina uhakika sababu siwajui ila alirespond na kile alichosema mabeste
We unauhakika kwamba Lisa yupo sahihi na maneno yake ni ya kweli? eti alikuwa ananyanyaswa na mabeste
 
Pia hakuishia hapo alimshambulia Jux mtandaoni kwamba Mabeste kamwandikia wimbo hajampa credits wala pesa bila kujua makubariano yao na huo nadhani ndiyo ukawa mwisho wa ukaribu wa Jux na maabeste
 
Huna kazi sawa baba maisha ni kupanda na kushula. Lakini huna kazi umekaa tu hata kutafuta alternative way ya kupata chochote kitu. Jamani hata sheria inasema mwanaume wa kuhudumiwa ni yule ambaye hajiwezi kabisa kapata ulemavi au vipi.
Yani huna kazi na wala hushtuki kuhangaika upo tu unakaa ndani unabadili chanel. Aiseee hiyo hapana uwiiiiii
 
Alichokisema lisa kikubwa ni kua mabeste ni mvivu sana. Anasubiria mke wake alete yeye sharo ashinde home. Sina uhakika sababu siwajui ila alirespond na kile alichosema mabeste
Me nimefuatilia interview nzima ya Lisa na kiukwel ameongea vizuri Sana Kama wanawake wengi walivyo wazuri Sana kwenye kuongea moja ya eneo nililonivuruga kuto appreciate angalau hata kidogo alichofanya mabeste kwake ameweka umimi Sana hapa ndo kikanifanya nitafakari mazungumzo yake kwa ujumla kwamba ni sahihi au yanauongo ndani yake haiwezekani uoneshe kafanya nothing kwako kwa miaka yote uliyoishi naye.
 
Kuna tofouti kubwa sana kati ya wanawake wa sasa (kidijitali) na wanawake wa miaka ya nyuma...

Huwenda Mama yako alikuwa kwenye kundi hilo la pili, hawa wa sasa hawatokuelewa wako radhi wakuletee wanaume ndani...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahaha ukikosa kazi kila utakachofanya kitaonekana hakifai mbele ya mwanamke, yani mwanamke akishamchoka mwanaume hasa asiye na pesa hakuna rangi ataacha onyesha.
Inshort mwanaume bila kazi na pesa mwanamke hawezi kukuheshimu kama anakuheshimu ni kwa muda tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…