Huenda mabeste alikuwaa anahangaika ila from my experience mwanamke kama mambo yako hayako sawa na huna pesa yeye ndiye ana vijisent, atakusema vibaya na inafika kipindi anaona kama unamboa tu hata ukitoka kuhangaika ukaka sebuleni ukawasha tv anaona kama vile uhangaiki na kwanini unawasha tv ambayo umeme na kifurushi kakilipia yeye.
Nyie wanawake bwana aisee inabdi tuishi nanyi kwa akili hakunaga shida na raha kwa wanawake wa siku hizi.
Mwanaume mwenzangu hakikisha unapambana ukiwa na mwanamke kila siku uwe na uwezo wa kuwezesha uwepo wa raha tu.
Siku shida akibisha mlangoni mwako, mapenzi atatoka ndani kwa kuruka kupitia dirishani na utapata tabu sana.
Kwani nyie wanawake mkiwa na wanaume wenye pesa na nyie si kutwa kshinda Hyatt hotel, na kwenye masool yenu makubwa, shopping haziishi, party, mnakaliaaa umbeaaa siku mwanaume akiymbaaa mnatoka nduki
Mbna mwanzoni hakulalamika khsu Maisha au jamaa kushuka ndy yamekua hayoo
Lisa mwenyewe alikuwa video vixn unaenda kumuoaa video vixen si Sawa na kuoaaa stripper
Au ukamuoee masogangeee
Ova
Sent using Jamii Forums mobile app
Sema jamaa kujitoa Bhits ilikuwa kosa kubwa sana aisee maana baada ya hapo hakuwahi kuvuma tena.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ila ni kawaida hata kijana uwe kwenu ushamaliza chuo kazi huna lazima upate masimango nyumbani. Kipatoless sio ulemavu ila unatesa sana unaowategemea.
Unalosema ni kweli maana mimi haya nayaongea kwa personal experience mwanamke akikubadirikia hakuna baya ataacha kusema hata uwe ulimuokota mtaani ukambadirisha akawa mtu katika watu akianza kukunanga hakuna zuri atakalosema juu yako.Kwann utafute hla kwa ajili ya mwnmke
Hilo ni kosaaaaa
Mwanaume anayejiamini hawezi tafuta pesa kwa ajili ya dem..... Unaweza ukaw na hela na siku ukipigikaaa hyo hyo atakukimbiaaaa
Kama una Hela na umezaa na mke wako
We Mali, fedha invest zaidi kwa Watoto
Tu mwnmke any time atabadilikaaaa
Ova
Sent using Jamii Forums mobile app
Tena mzigo kaubeba kwa miezi tuu analalamika.Wanaume huwa wanatubeba miaka kwa miaka ila shukrani hatuna, Naona baadhi ya wanawake wapo nyumbani waume zao wanahangaika kutafuta na kuwapa pesa lakn kila siku wanalalamika hela haitoshiMabeste ata kama hana ela alivyopigana afya ya mkewe leo mwanamke anamuona mzigo mumewe jambo baya sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Sema jamaa kujitoa Bhits ilikuwa kosa kubwa sana aisee maana baada ya hapo hakuwahi kuvuma tena.
Mbona kipindi mkewe anaumwa alienda kwenye media kuomba achangiwe hadi likafanyika tamasha japo niliona support ya wasanii wenzake ilikuwa ndogo sana, tamasha lilenga ipatikane pesa ya matibabu.
Dah maisha haya huwezi jua kesho yake............
Ndiyo maana bora ukaishi kama senior bachelor
Ukishaanza kujilipia mahari ,sijui kununua pete umedhihirisha kwamba upo tayari kubeba mzigo wa majukumu wa huyo mume. Sasa asijilize kwa kutaja madhaifu ya mume wake kwani alimjua ni marioo kabla ya ndoa. Na ni maisha hayo alichagua mwenyeweMwanamke anadai mpka mahari alitoa hela yeye,hapo inaonekana mabeste ni marioo hajitumi cz huwezi shindwa nunua pete hata ya ten au kulipa mahari
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe dada una akili nyingi unastahili kuitwa wife material.Ukishaanza kujilipia mahari ,sijui kununua pete umedhihirisha kwamba upo tayari kubeba mzigo wa majukumu wa huyo mume. Sasa asijilize kwa kutaja madhaifu ya mume wake kwani alimjua ni marioo kabla ya ndoa. Na ni maisha hayo alichagua mwenyewe
Maisha ya Instagram yaache tu kila mtu instagram anapendeza na ana pesa sasa kuna watu wanadhani ndiyo maisha halishi wanahangaika kweli kwenda nayo sawa, kama ni watoto wa kike viunge vya uzazi vinapata tabu sanaShida ya wasanii wao wanataka kuimba tu na mziki ulete ugali. Wengine wanajiongeza wanafanya na shughuli nyingine ili kama mziki utabounce unakua na kipato kutoka sehemu nyingine.
Maisha ya mitandaoni bwana mabeste na ex wake walikua wanapendeza wenyewe kumbe ndani hela za kuomba omba.
Maisha ya Instagram yaache tu kila mtu instagram anapendeza na ana pesa sasa kuna watu wanadhani ndiyo maisha halishi wanahangaika kweli kwenda nayo sawa, kama ni watoto wa kike viunge vya uzazi vinapata tabu sana
ndio huyo huyo. dem kachukuliwa na mshkaji wakeMabeste huyu huyu aliyekuwa analia mara kwa mara kwa ajili ya mke wake mbele ya media na mbele ya wasanii wenzake?? Nakumbuka alivyopambana katika kuhakikisha mkewe anapata matibabu. Au kuna mabeste wawili??
Hawa watu wepesi kusahauUnalosema ni kweli maana mimi haya nayaongea kwa personal experience mwanamke akikubadirikia hakuna baya ataacha kusema hata uwe ulimuokota mtaani ukambadirisha akawa mtu katika watu akianza kukunanga hakuna zuri atakalosema juu yako.
Na huenda mabeste alikuwa anamdunda coz ya dharau maana mwanamke akianza dharau hakuna dharau utaacha ona si kwa matendo na si kwa maneno.
Ngoja niishie hapa maana navyozidi kuandika ninakumbuka kilichonipata
Marafiki Ni nyokoKweli mkuu Wanawake uwa hawana uvumilivu, Kibaya Zaidi aliyemchukua huyu Demu ni rafiki Mabeste
wote wangekua wanawaza hv pasingekua na wanawake wapumbavuUkishaanza kujilipia mahari ,sijui kununua pete umedhihirisha kwamba upo tayari kubeba mzigo wa majukumu wa huyo mume. Sasa asijilize kwa kutaja madhaifu ya mume wake kwani alimjua ni marioo kabla ya ndoa. Na ni maisha hayo alichagua mwenyewe
ndio hivyo, kaa nae lakin jua kabisa pesa zikipotea nayeye anapoteaTujifunze kujipenda wenyewe kabla ya kupenda wengine. Dah
Maisha ya Instagram yaache tu kila mtu instagram anapendeza na ana pesa sasa kuna watu wanadhani ndiyo maisha halishi wanahangaika kweli kwenda nayo sawa, kama ni watoto wa kike viunge vya uzazi vinapata tabu sana