shija jr
Member
- May 21, 2016
- 58
- 44
Ukiangalia interview ya Lisa pale SnS na ya Mabeste pale Dozen Selection utagundua tatizo lipo wapi.
Ila Mabeste kapoteza mke mzuri Sana na anaweza asipate Tena mtu wa vile. Kitu kingine familia zinachangia Sana kwenye kuvunjika kwa ndoa nyingi Mf. Ndoa ya Mabeste na hata ndoa ya Stamina ukisikiliza interview yake pale Clouds Fm.
Nafikiri ni muda wa familia kuacha kuingilia Sana Mambo ya vijana wao pindi wanapopata wenza hata Kama hawakuridhika nao.
Sent using Jamii Forums mobile app