Jinsi ndoa ya Mabeste Ilivyovunjika

Ha ha ha!!

Wenzako wanaweka ndani walimu unawaona wajinga, unaenda kuchukua wadada wa mjini. Lazima udhalilike.

Siku uchumi ukiyumba utaitwa majina yote.

Sent using Jamii Forums mobile app
🤣🤣🤣🤣🤣 Alichukua dem kisu bila kuwaza kuwa siku salio likikata wahuni sio watu.

Kitu nawazaga tu siku nikiwa nimefulia mke wangu atakazwa na wahuni kwa niaba yangu basi nazidi kuchanganua akili nipate hela zaidi.
 
Ni kweli. Mtu yuko radhi akose hela ya kula ila apate ya photoshoot
hahaah na siku hizi watu wanaishi maisha ya mtandaoni yanawafanya wadogo zetu waone maisa rahisi sana. Juzi niliskia interview ya Lyn kuwa rayvanny alimuona Instagram ndipo akamuomba awe video vixen wake na ndipo akakutana na diamond na kalikuwa kamemaliza form 4 bas diamond akampenda wakawa wapenz akampangia nyumba the rest is history.
Ile interview ikanifanya niwaze watoto wakiskia wataingia kazini kujipost kwa juhudi ili wawe ma video vixen wapate masponsor
 
un
umeshindwa kubalance hii habari, unaangalia upande mmoja tuh
 
Niliiona pia nikasema duuuh kizazi hiki si mchezo.
 
Mwanamume akiweza ku talk a good game tu ujue mkeo kaliwa hata kama ni wewe ndiye ulimtoaga bikra.

Mademu huwa wanawaka na mikato ya mabaharia tu.
 
huyu lissa wengi tulimjua wakati Mabeste anampambania kwa kuomba michango ili apate matibabu na kweli alifanikisha, sasa hata kama jamaa ana kasoro zake si vema kuzieka plain kwa sababu hayo mengine ya ndani ya ndoa sisi hayatuhusu isipokuwa ataonekana yeye ndio mnafiki sababu kila mtanzania aliona jinsi Mabeste alivyojitoa kwa ajili yake
 
Wanawake na huo ushenzi wao ndio kitu pekee tu ambacho hakiwatofautishi. Mwanaume kosa kazi hata mwezi tu hayo manyanyaso utakayopitia utajuta kuzaliwa. Ila mke anaweza ishi na wewe hata miaka 40 anapika na kupakua mi Hotpot ya wali nyama na kujinenepea kwa raha mustarehe hamna siku mume atamkosesha raha eti kisa anamlisha.
 
Mwanamume akiweza ku talk a good game tu ujue mkeo kaliwa hata kama ni wewe ndiye ulimtoaga bikra.

Mademu huwa wanawaka na mikato ya mabaharia tu.
Wale watu hawana formula ukiwa huna pesa atamegwa na wenye pesa ukipata pesa atamegwa na wasio hata na hela ya kumnunulia pedi.
.
Huwa nacheka sana yani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…