Heisenberg blue meth
JF-Expert Member
- Oct 7, 2019
- 1,310
- 1,633
HIVI HUYU NI MWANAMKE WA NCHI GANI, JINA LAKE LIMEKAA KIZUNGU SANA
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣🤣🤣🤣 Alichukua dem kisu bila kuwaza kuwa siku salio likikata wahuni sio watu.Ha ha ha!!
Wenzako wanaweka ndani walimu unawaona wajinga, unaenda kuchukua wadada wa mjini. Lazima udhalilike.
Siku uchumi ukiyumba utaitwa majina yote.
Sent using Jamii Forums mobile app
hahaah na siku hizi watu wanaishi maisha ya mtandaoni yanawafanya wadogo zetu waone maisa rahisi sana. Juzi niliskia interview ya Lyn kuwa rayvanny alimuona Instagram ndipo akamuomba awe video vixen wake na ndipo akakutana na diamond na kalikuwa kamemaliza form 4 bas diamond akampenda wakawa wapenz akampangia nyumba the rest is history.Ni kweli. Mtu yuko radhi akose hela ya kula ila apate ya photoshoot
Kupanga ni kuchagua mkuu, umechagua style ya maisha yako halafu unajiliza
umeshindwa kubalance hii habari, unaangalia upande mmoja tuhKitu kilichomuumiza ni Mabeste kuanza kuongea kwamba sababu ya wao kuachana ni pesa. Kaongea kwenye media.
Mama wa watu imebidi atoke hewani akaelezea jinsi alivyomlea jamaa toka mwanzo mpaka wanaachana, hadi mahari alijilipia.
Ugonjwa aliokuwa anaumwa inasemekana kwamba chanzo ni familia ya Mabeste, maana mara zote Mabeste alikuwa akiwatuhumu nyumbani kwao na haelewani na wazazi wake kabla hata hajakutana na Lisa.
Idea ya kukusanya michango kwa ajili ya matibabu ni ya Lisa, na hata kuendesha accounts za Mabeste yeye ndiye alikuwa anafanya hivyo, ile concert yeye ndiye aliyeplan na kuanza kufatilia kila kitu.
Ukiweza kupata muda wa kumsikia utaelewa, na bahati mbaya kwa Mabeste, Lisa alifikia sehemu akaanza kurekodi kila walichokuwa wanazozana au kujadili.
hahaah na siku hizi watu wanaishi maisha ya mtandaoni yanawafanya wadogo zetu waone maisa rahisi sana. Juzi niliskia interview ya Lyn kuwa rayvanny alimuona Instagram ndipo akamuomba awe video vixen wake na ndipo akakutana na diamond na kalikuwa kamemaliza form 4 bas diamond akampenda wakawa wapenz akampangia nyumba the rest is history.
Ile interview ikanifanya niwaze watoto wakiskia wataingia kazini kujipost kwa juhudi ili wawe ma video vixen wapate masponsor
Mwanamume akiweza ku talk a good game tu ujue mkeo kaliwa hata kama ni wewe ndiye ulimtoaga bikra.Hata uwe tajiri wa namna gani watu tukiamua kumchukua mkeo tunamchukua tu, watu wanaodhani mapenzi ni pesa nawaonaga malofa sana.
.
Nakupa mifano hai Jux hana pesa za kuwa na Vanessa hana pesa za kumlidhisha Vanessa ila ulishawahi kujiuliza kwanini alikuwa nae?
Money ain't talk in love dude kinachozungumza ni u smartness and sharpness zako.
.
Anyway let's assume unapesa nyingi uko na mtoto mkali kama Mimi Mars unamuhudumia kila kitu, huko kitandani uko vizuri unfortunately anatokea gentleman tu hana pesa nyingi kama wewe ila ni smart kichwani anajua kuishi na malaya na anajua kuishi na mlokole unadhani atamkosa mkeo?
ni kweli kabisaKupanga ni kuchagua mkuu, umechagua style ya maisha yako halafu unajiliza
Wanawake na huo ushenzi wao ndio kitu pekee tu ambacho hakiwatofautishi. Mwanaume kosa kazi hata mwezi tu hayo manyanyaso utakayopitia utajuta kuzaliwa. Ila mke anaweza ishi na wewe hata miaka 40 anapika na kupakua mi Hotpot ya wali nyama na kujinenepea kwa raha mustarehe hamna siku mume atamkosesha raha eti kisa anamlisha.Mwanaume anaweza ishi na mwanamke maisha yake yote bila kuwa na kazi lakini sisi kosa kazi mwanamke awe na kazi utajua kwanini mbuzi alipewa mkia mfupi.
Kuna jamaa yangu flani juzi ananiambia siku hizi mkewe ana mdharau kwasababu hana kazi hana pesa mkewe ndiye ana kazi. Kasahau wakati jamaa biashara zake miaka minne nyuma iko vizuri alikuwa anampeleka ma vacation dubai south anambadiri mausafiri.
un
umeshindwa kubalance hii habari, unaangalia upande mmoja tuh
Wewe ndio mtoa mada sababu mimi naangalia mada na reply tuhToka thread imeanza mpaka ilipofika, unadhani ni nani ambaye amebalance hii story?
Wewe ndio mtoa mada sababu mimi naangalia mada na reply tuh
Wale watu hawana formula ukiwa huna pesa atamegwa na wenye pesa ukipata pesa atamegwa na wasio hata na hela ya kumnunulia pedi.Mwanamume akiweza ku talk a good game tu ujue mkeo kaliwa hata kama ni wewe ndiye ulimtoaga bikra.
Mademu huwa wanawaka na mikato ya mabaharia tu.
Cha msingi usiyachukulie sana haya mambo seriously.Wale watu hawana formula ukiwa huna pesa atamegwa na wenye pesa ukipata pesa atamegwa na wasio hata na hela ya kumnunulia pedi.
.
Huwa nacheka sana yani
Mabeste hakuwa tayari kuoa, aliolewa yeye.
Kwanini umeamua kumuoa mke wa zamani wa rafiki yako mkuu? Unamkandia sana rafiki yako kwanini? |
Kwanini umeamua kumuoa mke wa zamani wa rafiki yako mkuu? Unamkandia sana rafiki yako kwanini?
Hahaha, wewe jamaa turudi kule kwenye Thread zetu, Jumapili kuna kazi maalumu
Jiandae kudondosha point tatu, hili halina mjadala.😂 |