Leo mnakubali kuwa pesa ni kila kitu [emoji23][emoji23][emoji23]Ndiye demu huyo huyo ..mabeste alipambana mpaka akafanyiwa harambee na wa-bongo ili demu wake akatibiwe " na hatimae akapona
Hapa wanaume Tunajifunza kwamba pesa ndio kila kitu " hata ujitoe kwa mwanamke kiasi gani 'Kama hauna pesa Thamani yako itabaki kuwa rehani
Sent using Jamii Forums mobile app
Laana yako imechelewa mkuu fanya kuitumia kwa dada na binti zakoKwa kauli zako hizi utazeeka huku ukiwa na msururu wa mabwana ulio lala nao
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanawake ni viumbe wa ajabu kweli, ukiwa na hela atatamani ushinde ndani muda wote hata nje usitoke, ukiwa huna sasa hataki kukuona hapo ndani, hata ukilala nje anaona sawa tu.
unatukosea sanaMabeste alikuwa Marioo.
Kazi hafanyi, muziki hafanyi. Yuko Busy na media tu na neno 'Nakupeoda, Nakupenda'
Does the word Nakupenda pay bills ?
Hivi Mabeste huwa ni mchagga ?
Miaka ya karibuni vijana wa kichagga wamekuwa ma-marioo wa kutosha.
Wengine wanaolewa Ulaya wengine Bongo !
Daaah
na mwarabuu tozi sio?Lete za Konde Gang
Yaani ukiona haya mambo yanakatisha tamaa kabisa,mwanaume katijoa vya kutosha anakuja kuachwa na kutafutiwa visababu uchwara
Sent using Jamii Forums mobile app
Main point ni pesa kiukwel kabisa.Sikiliza interview nzima halaf chagua main point kabisa uniambie 🤣
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa Mimi Swain wa kiume ww wakike ..Mama ake sio mchaga n mtu wa singida ..huna details unaandika andika tuu Swain ww
Sent using Jamii Forums mobile app
Alafu mwanaume huwa atukan.Sawa Mimi Swain wa kiume ww wakike ..
Huyo Lisa mwezako namjua mwanzo mwisho yeye na familia yake.tena hata hilo jina la Lisa siyo jina lake jinalake ni Sammy.Mama ake sio mchaga n mtu wa singida ..huna details unaandika andika tuu Swain ww
Sent using Jamii Forums mobile app
Pesa pesa pesa
Wanaume nawaasa mtafute pesa aisee. Hizo sababu alizotoa huyo Lisa inaonyesha tatizo ni PESA tu imekauka kwa Mabeste
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa upande wako unaweza kumvumilia mwanaume ambaye pesa Hana? sema ukweli kutoka moyoni
Hapo mtakuwa mnakula nini ?Kwa upande wako unaweza kumvumilia mwanaume ambaye pesa Hana? sema ukweli kutoka moyoni