Jinsi ndoa ya Mabeste Ilivyovunjika

Jinsi ndoa ya Mabeste Ilivyovunjika

Ndiye demu huyo huyo ..mabeste alipambana mpaka akafanyiwa harambee na wa-bongo ili demu wake akatibiwe " na hatimae akapona


Hapa wanaume Tunajifunza kwamba pesa ndio kila kitu " hata ujitoe kwa mwanamke kiasi gani 'Kama hauna pesa Thamani yako itabaki kuwa rehani

Sent using Jamii Forums mobile app
Leo mnakubali kuwa pesa ni kila kitu [emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kweli kabisa
Wanawake ni viumbe wa ajabu kweli, ukiwa na hela atatamani ushinde ndani muda wote hata nje usitoke, ukiwa huna sasa hataki kukuona hapo ndani, hata ukilala nje anaona sawa tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Un
Mabeste alikuwa Marioo.

Kazi hafanyi, muziki hafanyi. Yuko Busy na media tu na neno 'Nakupeoda, Nakupenda'

Does the word Nakupenda pay bills ?

Hivi Mabeste huwa ni mchagga ?

Miaka ya karibuni vijana wa kichagga wamekuwa ma-marioo wa kutosha.

Wengine wanaolewa Ulaya wengine Bongo !

Daaah
unatukosea sana
 
Interviews zote zinaonyesha shida ni mshiko. Mwanamke anavyosema jamaa sio mchakarikaji anamaanisha hana Hela, hivyo hivyo Mabeste nae kathibitisha shida Hela japo anachakarika sema mambo tu yanagoma.

Sent from my Nokia 6.1 Plus using Tapatalk
 
Back
Top Bottom