AhsanteniKumbe tupo wengi tuliofikia hii hitimishoe?
Hahaha, I was being honest with myself. She so much took my heart.
Wanaume tujaribu kuwaelewa maneno yao wengi ni waongeaji wazuri sana
Mwanamke akisema mwaname sio mchakalikaji au haumjali basi ujue kaona huna hela au umeishiwa
Wanawake kuna maisha huwa wanatamani kuyaishi ambayo ni ya juu sana sina hakika kama mabeste alikosa pesa ya kula au kulipa kodi
Mbona kipindi chote wanaishi sijawahi kusikia huyo lisa anakazi yoyote kwa mana hiyo basi mabeste ndo alikuwa anahudumia familia
Nachokiona mimi huyo lisa kuna maisha alikuwa anatamani kuyaishi kiufupi ameingiwa na tamaa kutokana na story yao sina hakika sana kama walikuwa wanaishi maisha magumu najua kabisa walikuwa wanaishi wanaishi maisha kawaida tu kama watanzania wengine kitu ambacho yeye hakupenda
mwanamke akishaona hauna pesa huwa wanatabia ya kuonesha dharau
Huyu dada mnamsimanga sana ila ni mtafutaji sana. Sitasahau nakumbuka kipindi katlyn ana miez sijui mi3 ile dada wawatu alikua anapiga nae trip za mbugani huko. Mwenyewe. Mumewe alikuwa wapi mdada anachakarika na kichanga mradi kutafuta pesa.
Give her some RESPECT. Inawezekana hujui anachofanya ila haikuruhusu kusema sio mtafutaji that woman ni mpambanaji sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tafuta hela wewe. Acha kulia-lia kwenye media hao wanakuchora tu. Mwanamke anataka matunzo.,ameanza Shamsa, Stamina, Mabesto bado Pilipili
Yule sijui itakuaje maana ukichanganya na alipotokea ni disaster
Kwa taarifa yako mabeste ndo kafanya interview ya kwanza dozen selection. Acheni uongo uongo basi. Jamaa ni nyau na hana lolote, mpuuzi tuMabeste kaanza kufunguka baada ya mkewe kufunguka Sana Kama mkewe asingefanya ile interview sizani Kama mabeste angefunguka.
Hii kwel yaan wanawake wana mikwara wanapenda kujjmwambafaiLabda nikuambie kitu kimoja tuu mtoa maada, mwanamke akihudumia familia mwezi mmoja tuu basi mtaa mzima watajua
Hapo kwenye maada anasema alihudumia familia miezi 2 , sasa kipindi cha maisha yao yote nani alikua analipa bills?
Ndoa zinachangamoto hiyo iko wazi lakini wanawake wengi wako hivyo...
Hata kipindi nakua mzee wangu anaweza kutuma hela kwa bi Mkubwa ili akupatie, basi akikupatia anaanza kusema mi nawasomesha kwa pesa yangu
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanasema mke wa jamaa alikua mboga ya wana toka yupo chuo. So jamaa alioa tatizo tuKama yule boss wa uhuru 1,si alikuwa na mpunga lkn bado mke akazinguaa
Tatizo Hawa wenzetu wa dhaifu sana na wanasahau mapema
Ova
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama hadi wewe unajibu hivi basi jf imekua ya hovyohovyo. Hebu kapoteze muda kucheki interview ya mabeste maana ndo alianza kulia lia kwenye media then kacheki majibu ya binti. Utagundua jambo. Wanawake tuna shida zetu lakini kwa hili huyu dada alivumilia kupita kiwango binafsi siweziLabda nikuambie kitu kimoja tuu mtoa maada, mwanamke akihudumia familia mwezi mmoja tuu basi mtaa mzima watajua [emoji117][emoji117][emoji117][emoji117]FULL STOP [emoji123][emoji109][emoji120][emoji625][emoji419]
Jr[emoji769]
Ulitaka afya apiganie nani na wakati anatongozana alimkuta binti mzima.Mabeste ata kama hana ela alivyopigana afya ya mkewe leo mwanamke anamuona mzigo mumewe jambo baya sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Mabeste anaongea kama tejaSio kweli,ukiona mwanamke anakuzungumzia ujue umemkera sana,katumia nguvu kukushauri ubadilike bado mzgo Wa fikra Na bado unajinadi huna matatzo,msikilize mabeste anavyojing'ata ng'ata
Sent using Jamii Forums mobile app
Jamaa yupi huyo Kaka tupe infoWanasema mke wa jamaa alikua mboga ya wana toka yupo chuo. So jamaa alioa tatizo tu