Jinsi ndoa ya Mabeste Ilivyovunjika

Usiseme nani kaanza kuropoka kuhusu familia,hapa tufanye bado wapo pamoja

ila mwanamke tayari amesha record ugomvi wa jana juzi na juzi ile anao kwenye simu

unataka kusema kwenye hii ndoa nani alikua anamtafutia mwenzake sababu ili ajitoe?

Simtetei mabeste maana sijui alichokua akifanya na wala sipo upande wa Mke wake

ila kwenye hii ndoa ya mabeste nathibitisha mstari mmoja wa kwenye biblia unaotoka

Mithali 14:1

Mwanamke mwenye hekima huijenga nyumba yake, lakini mpumbavu huibomoa kwa mikono yake mwenyewe.

mke wa mabeste ni mwanamke MPUMBAVU aliyeongelewa kwenye Biblia.
 
Nakukubali sana jamaa tema madini
 
Umeliona Hilo tu la kurecord!?
Mengine hujayaona.

Acha kuishi kwa kuassume,itakugharimu mdogo wangu.

Sent using Jamii Forums mobile app

Nikuulize kitu?

una uhakika wa ulichokisikia kutoka kwa mke wa mabeste kwa asilimia ngapi?

una uhakika wa ulichokisikia kwa mabeste kwa asilimia ngapi?

Kama upo 100% sure na uliyoyasikia na ndivyo yalivyo katika hili sakata lao

una haki ya kuniambia 👇

Acha kuishi kwa kuassume,itakugharimu mdogo wangu.

Sent using Jamii Forums mobile app

ila kama ni tofauti naomba mimi nikwambie LEO kuwa "NDOA ZINA SIRI KUBWA"
 
Nikushangae Wewe uliyeshadadia kuhukumu upande MMoja na wakati hujakaa kuwasilikiliza.
Uache kuhukumu kwa hisia.

BTW,Mimi sijasikiliza upande wowote na Wala sitakaa nisikilize.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nikushangae Wewe uliyeshadadia kuhukumu upande MMoja na wakati hujakaa kuwasilikiliza.
Uache kuhukumu kwa hisia.

BTW,Mimi sijasikiliza upande wowote na Wala sitakaa nisikilize.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi sio sanamu useme unshangae,ila nakushangaa unaporuka ruka maswali ninayokuuliza

unapohisi huna hoja ya kutetea unachokiamin you better shut up,unaulizwa maswali badala yakujibu

upo kusema "unishangae mimi" sihitaji unishangae i need answers tena right answers.
 
Eti umesema hujafanya nini? [emoji116]




ila unajua kuhusu aliyeanza kuropoka si ndio?![emoji116]




Kwakweli naomba niishie hapa kwa leo,kumbe hujasikiliza chochote aseeee[emoji2960]
Kwamba hujaelewa nikichokiandika!?
Akheri Mimi ambaye sijasikiliza upande wowote kuliko wewe uliyesikiliza upande MMoja na kuanza kutoa hukumu.

Acha Mambo ya kuassume mdogo wangu,yatakugharimu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ulishapumbazwa na utetezi wa upande MMoja ndiyo maana huelewi nilichokiandika.

Sipo hapa kumtetea huyo dada au mwanaune wake,
Nipo hapa kukwambia wewe uache kuhukumu Mambo ambayo hujafwatilia vizuri.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwahiyo mwanaume kulelewa ndio familia ilikua inaona sawa,wanaume tunatafuta kwa ajili ya familia zetu sio mke kukulisha kibwege

Sent using Jamii Forums mobile app
 
U said it All!!Bravo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimeangalia clips zote. Kila mmoja ana kosa.

Ila nachomuunga mkono demu ni jitihada zake kuokoa mahusiano yao kabla na baada ya ndoa. Naziita jitihada za kufa na kupona.

Upande wake mume, inaonekana hakufanya chochote kuokoa ndoa, angefanya asingeacha kusema kwenye interview.Huwezi kuelezea mgogoro wako wa kuvunjika ndoa ukasahau kuelezea jitihada ulizofanya kutatua mgogoro huo!!!
 
Nilicomment bila kutazama interview, nimetazama na nafuta baadhi ya kauli zangu. Nimemuamini Lisa kwa 85% maana jinsi anavyozungumza kwa uchungu na jinsi anavyo flow matukio inaelekea kaumia sana.
Kuna kesi moja ilikuwa inasikilizwa mahakamani ilikuwa inahusu baina ya mwanamke na mwanaume. Wakati wa mwanamke wa kusikilizwa ulipofika alizungumza huku akitokwa na machozi.

Wakili wa mwanamke akaiambia mahakama imuonee huruma na itende haki kwa huyu mwanamke anaongea mpaka anatokwa na machozi.

Jaji akamjibu, "kinachotafutwa ni haki, si yupi anayeonekana anaongea kwa uchungu wala anayetokwa na machozi."

Mabeste kwa tukio la kuachwa na mkewe limemuumuza. Baya zaidi mwanamke kaenda kwa rafiki wa Mabeste. Haitoshi mwanamke hataki Mabeste awaaone hata watoto. Akifanya mawasiliano jinsi gani apate muda angalau wa kuwaona watoto mawasiliano yanadunda.

Halafu anafanyiwa interview hali ya kuwa yaliyomkumba bado mabichi. Unafikiri Mabeste ataweza kujielezea kiuweledi? Ukimuangalia Mabeste anavyohojiwa na Dozen anamuona kabisa jamaa bado ana maumivu ijapokuwa anjitahidi kucheka.
 
Eti umesema hujafanya nini? [emoji116]




ila unajua kuhusu aliyeanza kuropoka si ndio?![emoji116]




Kwakweli naomba niishie hapa kwa leo,kumbe hujasikiliza chochote aseeee[emoji2960]
Huyo dada kajdhihirishia JF kuwa n mtupu kichwani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Akili kubwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nakuja kuoa huko umakondeni niandalie mke/mchumba

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…