CONTROLA
JF-Expert Member
- Sep 15, 2019
- 7,001
- 23,449
Usiseme nani kaanza kuropoka kuhusu familia,hapa tufanye bado wapo pamoja
ila mwanamke tayari amesha record ugomvi wa jana juzi na juzi ile anao kwenye simu
unataka kusema kwenye hii ndoa nani alikua anamtafutia mwenzake sababu ili ajitoe?
Simtetei mabeste maana sijui alichokua akifanya na wala sipo upande wa Mke wake
ila kwenye hii ndoa ya mabeste nathibitisha mstari mmoja wa kwenye biblia unaotoka
Mithali 14:1
Mwanamke mwenye hekima huijenga nyumba yake, lakini mpumbavu huibomoa kwa mikono yake mwenyewe.
mke wa mabeste ni mwanamke MPUMBAVU aliyeongelewa kwenye Biblia.