Jinsi nilivyoanza kuwa mtu wa mazoezi ya mwili/ push ups mpaka kuwa na sexy body

Jinsi nilivyoanza kuwa mtu wa mazoezi ya mwili/ push ups mpaka kuwa na sexy body

Nenda gym upige uzito wa kilo 100
Gym kunataka muda wengine kuamka asubuhi kipengele jioni kazi tunafunga saa 12 nipite gym nitatoka saa ngapi nitaenda home saa ngapi nijiandae na siku inayofuata?

Zoezi nililoliweza na likaendana na timetable yangu ni jogging sababu nikitoka eneo la kazi nilikuwa nabadilisha nguo kibegi mgongoni napanda bus nashuka 5km kabla ya home hapo ni kukimbia na kutembea tu,kuingia gym natamani huo muda ndiyo shida.
 
Usijitese sana, unahakikisha unapiga tu hata tano mkuu
Duh sasa huo uwongo mkuu 😂😂😂😂 push up tano useme umefanya mazoezi kweli?

Nataka nikaze seriously ndani ya miezi miwili kupiga nadhani mwili utapokea maana pagumu huwa hapa mwanzo ukishazoea nitaenda vizuri,mazoezi ni muhimu sana ukiwa na viungo wezeshi.
 
Yaani sio mtu wa mazoezi lakini siku ya kwanza tu upige pull ups 80 mpaka 120, kwa mkupuo, mzee sisemi hukufanya mazoezi, ila nahisi hujui kuhesabu.

Ni kweli mazoezi yanahitaji moyo mnoo.
 
Yaani sio mtu wa mazoezi lakini siku ya kwanza tu upige pull ups 80 mpaka 120, kwa mkupuo, mzee sisemi hukufanya mazoezi, ila nahisi hujui kuhesabu.

Ni kweli mazoezi yanahitaji moyo mnoo.
Sio kwa mkupuo ni kwa set, set moja napiga 20 naenda hata set 6
 
Duuuh hivi Watanganyika mmekuwaje aisee
Watu wamaongelea wazoezi, we huoni aibu unaingiza mada za ushoga
Zamani Kwenye fashion industry ndio ilikuwa kimbilio la mashoga Huko....ila Sasa gym ndio imekuwa platform ya mashoga kukutana Huko.....
 
Duh sasa huo uwongo mkuu 😂😂😂😂 push up tano useme umefanya mazoezi kweli?

Nataka nikaze seriously ndani ya miezi miwili kupiga nadhani mwili utapokea maana pagumu huwa hapa mwanzo ukishazoea nitaenda vizuri,mazoezi ni muhimu sana ukiwa na viungo wezeshi.
Heri nusu shari kuliko shari kamili mkuu😅😅
 
Back
Top Bottom