Jinsi nilivyochomoka na kuikimbia nyeto milele

Nyeto inaharibuje Future ya mtu
 
Ila afadhali wewe ulikua unapiga nyeto salama, hukupata madhara makubwa sana.....! Kuna ile nyeto ya inaitwa(prone masturbation) hiyo unakua unabana mashine kati ya godoro na tumbo mbaya sana hiyo
 
Ila afadhali wewe ulikua unapiga nyeto salama, hukupata madhara makubwa sana.....! Kuna ile nyeto ya inaitwa(prone masturbation) hiyo unakua unabana mashine kati ya godoro na tumbo mbaya sana hiyo
Du! hii hatari sasa, kuna mahali niliwai ona godoro lina tobo kati kati, nkajua hii tayari.
 
Mbele ipi mkuu na kivp ?
Aliyekaza sana, ndo kama kuna jamaa alitoa uzi hapa majuzi, hata alale na mwanamke haridhiki kabisa, nimewai pia kukutana na jamaa mmoja, hata afanye mapenzi hawezi mwaga, akimaliza anaenda bafuni kupiga ndo amwage.( imagine maisha ya namna hiyo na alikua ameoa)
Ndo madhara yenyewe hayo na zaidi ya hapo, kuna uzi flani uliwai elezea kwenye jukwaa la JF doctor nafikiri.
 
Nitakutafuta, ngoja nitumie kwa mwezi huu nione maendeleo yakoje.
 
Tafuta pesa mkuu mwanaume ukiwa na pesa huwezi kosa nguvu za kiume.
 
Watu wengi wanadanganyana,nyeto ni hatari kwa afya ya mwili na akili.Mpiga nyeto mara nyingi hukumbwa na ukungu katika ubongo(brain fog) hii hupelekea kupoteza kumbukumbu ambako kunaweza kuwa kwa muda mfupi au mrefu.Pia mtu hukosa nguvu hata za kusimama,mfano kwa mguu mmoja,nuru ya macho hupungua na ndio maana wapiga nyeto ngozi inayozunguka au kufunika jicho huwa na weusi.Halafu huathiri mfumo mzima wa utendaji wa akili kwa sababu ubongo umezoea kudanganywa,mkono unaufanya uonekane sehemu ya kike,kwa kifupi unajiingilia kimwili wewe mwenyewe.
Tuache huu mchezo
 
Eti ubongo umezoea kudanganywa. Je,unapofanya mapenzi na dada poa au mwanamke kwa kullazimisha,ndo unaupa ukweli huo ubongo?
 
Chaputa hatari [emoji28][emoji28][emoji125][emoji125]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…