Jinsi nilivyochomoka na kuikimbia nyeto milele

Jinsi nilivyochomoka na kuikimbia nyeto milele

Semaa humu ndani ukifata kila mtu anachosema unapotea mazima...

Nyeto ni mbaya Nyeto inaharibu future za watu... nyeto sio ya kuendekeza

Thamani ya Mwanaume ni nguvu zake mwenyewe

Tunasema wazee wa zaman walikuwa ngangali kwa sababu vitu vingine wao hawakugusa...

Bao moja la nyeto ni ni sawa na kukimbia Kilomita 60 nguvu unayopoteza
Kudadeki zako. Sasa,kama wanahimizi watu kufanya mazoezi, kukimbia kilometa 1 ikawa imeshindikana kwa wengi, kwa nini ulaani wanaokimbia km 60? Hao si ndo wenye uwezo?
 
Kudadeki zako. Sasa,kama wanahimizi watu kufanya mazoezi, kukimbia kilometa 1 ikawa imeshindikana kwa wengi, kwa nini ulaani wanaokimbia km 60? Hao si ndo wenye uwezo?
Elewa comment nguvu unayopoteza ni kama kukimbia Kilomita 60
 
Aseee sijajua. Nikiachaga ni week tu... Nilishawahi kwenda kukanyaga mafuta kwa mwamposa lakini wapi [emoji22]🥲🥲🥲
Unaacha ili iweje? Jaribu angalau kila usiku. Ukiweza,asubuhi na jioni basi
 
haaa haaa ..... nilidhani mwishoni utaweka namba ya simu.. kwamba wakitaka dawa wapige namba hiyo..

Mengi ya uliyosema ni ya kufikirika.

Ukweli ni kuwa NYETO haina madhara yoyote, haijawahi kuwa na madhara na Haitakuja kuwa na Madhara MILELE.

Kwanza NYETO ni tiba kwa wanao wahi kumaliza haraka.

ili uweze kufanya mazoezi ya Kegel kwa usahihi inabidi utumie nyeto kucheza mechi ya kirafiki.

Nchi kama Uiengereza waliweka kabisa kampeni ya kuhamasisha vijana wapige NYETO..

kushindwa kusimamisha ni saikolojia yako mwenyewe..
Kwa Tanzania TAFITI nyingi zime fanyika . na hata kufikia baadhinya tafiti kutoa hitimisho kuwa Somo la NYETO liingizwe kwenye mitaala .😂😂😂

bofya hapa kusoma Tafiti nyingine ya hapa hapa Bongo
Punyeto ina madhara makubwa ni sawa sawa na kuangalia porn. Wanasayansi walikuwa hawana ushahidi lakini kuanzia mwaka huu 2023. Wana ushahidi mahususi kuwa punyeto na video za ngono zina madhara kwenye afya ya akili ya binadamu.
 
...mbona wanawake hamkomenti... Au nyie mko safe...
 
haaa haaa ..... nilidhani mwishoni utaweka namba ya simu.. kwamba wakitaka dawa wapige namba hiyo..

Mengi ya uliyosema ni ya kufikirika.

Ukweli ni kuwa NYETO haina madhara yoyote, haijawahi kuwa na madhara na Haitakuja kuwa na Madhara MILELE.

Kwanza NYETO ni tiba kwa wanao wahi kumaliza haraka.

ili uweze kufanya mazoezi ya Kegel kwa usahihi inabidi utumie nyeto kucheza mechi ya kirafiki.

Nchi kama Uiengereza waliweka kabisa kampeni ya kuhamasisha vijana wapige NYETO..

kushindwa kusimamisha ni saikolojia yako mwenyewe..
Kwa Tanzania TAFITI nyingi zime fanyika . na hata kufikia baadhinya tafiti kutoa hitimisho kuwa Somo la NYETO liingizwe kwenye mitaala .[emoji23][emoji23][emoji23]

bofya hapa kusoma Tafiti nyingine ya hapa hapa Bongo
Asante sana Mkuu, umemaliza kila kitu
 
Kwa jinsi namba ya waathirika wa ukimwi Uti na kisonono inavyozidi kupanda nyeto inaweza ikawa salama zaidi.
 
Yaani hiki ulichokiandika ni kama vile umechukua movie yote iliyonikuta mimi isipokuwa kununua mademu tu😃,
Binafsi nilianza kuisikia nyeto kutoka kwa bro mmoja wa form six mwaka 2008 shule moja pale Tanga mjini,mimi nikiwa Njuka.Nilianza kupiga nyeto February 2009 mpaka May 2014,mwaka huu wa 2014 ndo nilipata pisi kali ya Singida lakini mashine iligoma kabisa kila nikiweka inaishia mlangoni 😭😭na demu akanikimbia mazima.Baada ya kukimbiwa nikarudi tena chamani mpaka 2019,nikaopoa demu mmoja pale mitaa ya Idodomya,ajabu siku hiyo nilipiga kazi na mashine legelege kwa saa nzima ila hisia nikawa nazisikilizia kwa mbaali sana.Siku hiyo ndo nikaamua kutoka Chaputa lakini haikuwa rahisi aisee!
Nikawa nashtua mara chache baada ya mwezi au miezi mitatu mpaka nilipoamua kuoa last year ndo nikamudu kuacha kwa miezi 10 tu😃 na bao lilikuwa linaingia kimiani baada ya dakika 40+,Shem wenu alipokuwa third trimester ya ujauzito..malaika wa nyeto akaja tena kunitembelea,nikamsikiliza na kuendelea na gemu,ajabu baada ya kujifungua tu naona malaika wa nyeto kasepa tena.Nadhani mtoto amekuja na mwanga mpya.
Nyeto kwa heri.
Du mkuu, umetisha, huyu malaika ni hatari sana asee, ila naona wewe hua unaenda likizo tu.
 
Ukizidiwa sana na huna namna ingine piga nyeto, kwanza haina madhara kiasi icho na ata kama yapo kwa mtu anaepiga bila kias ni kwamba madhara yake hayawezi fikia aya madhara yaliyompata uyu jamaa apa aliezidiwa akaamua kubaka mwanafunzi wa darasa la saba
Screenshot_20230920-223213_Instagram.jpg
 
Back
Top Bottom