Jinsi nilivyofanikiwa kutengeneza Sh. Milioni 19.9 ndani ya siku 35 kwa kutumia Milioni 3.8

bora umesema mapema maana nilikuwa nakuja kumwaga mchele kwenye kuku wengi ila nitakausha mwana Code name "Sitaki Jela" si umenisoma roger that..Big up sana😀😀😀
Amani sana boss.
 
Aiseee umenifumbua macho... ngoja nikaweke vyeti yangu bondi mpk vya PHD
 
kwa mara ya kwanza nimekukubali..! umeongea bonge la point
 
Mkuu nakuomba PM uwe personal coach wangu
Mkuu tangu niingie JF Sept 2013 sijawahi kutoa mawasiliano yangu, ni ngumu sana kwangu. Hizi ID za anonymous zinaficha mengi.

Kuna vitu viwili vitatu nakamilisha, before September nitatafuta verified ID, kuanzia hapo labda unaweza kunikumbusha.
 
Sawa boss,ila nakumbuka kama kuna shindano flan uliombaga kura
 
Mkuu tangu niingie JF Sept 2013 sijawahi kutoa mawasiliano yangu, ni ngumu sana kwangu. Hizi ID za anonymous zinaficha mengi.

Kuna vitu viwili vitatu nakamilisha, before September nitatafuta verified ID, kuanzia hapo labda unaweza kunikumbusha.
Kwahiyo unajichukulia kama hujulikani ?
 
Mkuu LAKI si pesa Tangu nizaliwe 1994 sijawahi kuajiriwa, mpk naingia kaburini hakuna mtu atakayeweza kunilipa mshahara unaoendana na output yangu. Sitaki kuongea mengi najua watu wanaeza sema nakuza ama vipi

kama umesoma uchumi kwa hii picha utaelewa namaanisha nini... kama kwa siku naweza kuingiza mil 9.5 nani hapa TZ anaeza kunilipa?! Hata Dewji hawezi.
hahaha nazumgumzia point uliyoongea kuhusu kelele za hali ngumu ya uchumi ndio nimeikubali.....hayo mabulungutu si unaweza ukawa umeazima kwa mtu tu? au umepewa na bosi wako upeleke benki[/QUOTE
 
hebu toa maelezo ya hilo jedwali hapo naona mapicha picha tu au ndio ule mchezo wako wa bitcoin..?
 
hebu toa maelezo ya hilo jedwali hapo naona mapicha picha tu au ndio ule mchezo wako wa bitcoin..?
Uelewa wako ni mdogo sana, si kwasababu umeshindwa kuelewa hiyo screen shot bali kujifanya mjuaji kwa kile usichokijua. Huwezi kuuliza kitu kisha ukajijibu.

Wewe jamaa ni hater nilikuona kwenye uzi wa The bold na Nifah. Ukiona mtu anatusua unaingiliwa na gubu. Hebu kafie mbele, tushakustukia.
 
tatizo lako sijui unajishtukia si ueleze tu ni nini ukishindwa hoja unakuja na kashfa sasa wewe umetusua nini hakuna mtu anaingiza million 9 kwa siku acha uongo wewe kuajiriwa hapo kwa NGO ndio umeshajiona umetusua hahaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…