Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vyeti havikubaliki na havina thamani yoyote kama huna kaziAiseee umenifumbua macho... ngoja nikaweke vyeti yangu bondi mpk vya PHD
bora maana havina maanaAiseee umenifumbua macho... ngoja nikaweke vyeti yangu bondi mpk vya PHD
kwa mara ya kwanza nimekukubali..! umeongea bonge la pointKivipi graduate atapata pesa::
Kwanza niwe muwazi bila kepepesa maneno - mtu anatafuta mkopo kufungua biashara ni popoma (moron). ●Hakuna mtu atakayeweza kukupa pesa ufanye biashara ambayo haijaprove success, biashara inayokopesheka ni ile ambayo tyr ina run na daily/monthly financials zina make sense.
●Biashara yoyote ina uncertainties nyingi sana, 90% ya biashara zinazoanzishwa hufa mwaka wa kwanza, ukichukua mkopo maana unajimaliza mara 2, kwanza kuhakikisha biashara haifi na pili kuhakikisha unalipa mkopo wa watu bila kuuwa biashara.
Njia pekee ya kuwa na mtaji ni personal savings, kama ulikua unakunywa supu chapati 2 na maji kwa 3000 anza kugonga mihogo na kandoro kwa jero (mfn tu). Fanya chochote kikuingiziacho kipato - jiulize watu wanatoka kigoma, mtwara wanakuja kwa magari ya mkaa still wakikaa Dar kwa miezi mi2 wanaeza kuafford chumba, chakula nk. Kuna dogo nilikua naongea nae yeye anauza hizi kahawa na kashata, alinambia kwa siku analala na buk 7.
Ugumu wa biashara::
Sijui unaishi wapi!! Mimi hua nakuwa Dar weekends nyingi, mara kadha hua nazunguka jioni maeneo ya Tabata. Kule kuna Bars nyingi sana kama KP, The great nk. Amsha amsha ni hatari, watu wanagonga mivinyo mpaka asubui, watu wanachoma pesa, mtu wa kawaida kuacha laki 2 pale ni kawaida. Bado unasema hakuna pesa?? Pesa ni ngumu labda kwako. Wanaofunga biashara nahisi ni wale ambao walikua wanatumia njia za uchochoro. Niambie yale maduka ya hardware pale Mwenge mangapi yamefungwa?? Niambie wapi madaladala yamepaki kua hakuna abiria?? Niambie yale maduka ya mbao pale buguruni kama yamefungwa?? Niambie duka gani pale mcity limeacha space wazi!! Umeona juzi diamond kaitwa ufunguzi wa duka gani sijui pale mcity!!
Nisiwe theorist sana - juzi nimeuza mahindi kutoka heka kadhaa nilizolima. Niambie watu wataacha kula![]()
Mkuu nakuomba PM uwe personal coach wanguMkuu mimi sijawahi kuongea mashudu, labda nikiwa MMU - au kisa umeona kiburungutu ndugu?!
Mkuu tangu niingie JF Sept 2013 sijawahi kutoa mawasiliano yangu, ni ngumu sana kwangu. Hizi ID za anonymous zinaficha mengi.Mkuu nakuomba PM uwe personal coach wangu
hahaha nazumgumzia point uliyoongea kuhusu kelele za hali ngumu ya uchumi ndio nimeikubali.....hayo mabulungutu si unaweza ukawa umeazima kwa mtu tu? au umepewa na bosi wako upeleke benkiMkuu mimi sijawahi kuongea mashudu, labda nikiwa MMU - au kisa umeona kiburungutu ndugu?!
Sawa boss,ila nakumbuka kama kuna shindano flan uliombaga kuraMkuu tangu niingie JF Sept 2013 sijawahi kutoa mawasiliano yangu, ni ngumu sana kwangu. Hizi ID za anonymous zinaficha mengi.
Kuna vitu viwili vitatu nakamilisha, before September nitatafuta verified ID, kuanzia hapo labda unaweza kunikumbusha.
Kwahiyo unajichukulia kama hujulikani ?Mkuu tangu niingie JF Sept 2013 sijawahi kutoa mawasiliano yangu, ni ngumu sana kwangu. Hizi ID za anonymous zinaficha mengi.
Kuna vitu viwili vitatu nakamilisha, before September nitatafuta verified ID, kuanzia hapo labda unaweza kunikumbusha.
hahaha nazumgumzia point uliyoongea kuhusu kelele za hali ngumu ya uchumi ndio nimeikubali.....hayo mabulungutu si unaweza ukawa umeazima kwa mtu tu? au umepewa na bosi wako upeleke benki[/QUOTE
hebu toa maelezo ya hilo jedwali hapo naona mapicha picha tu au ndio ule mchezo wako wa bitcoin..?Mkuu LAKI si pesa Tangu nizaliwe 1994 sijawahi kuajiriwa, mpk naingia kaburini hakuna mtu atakayeweza kunilipa mshahara unaoendana na output yangu. Sitaki kuongea mengi najua watu wanaeza sema nakuza ama vipi
kama umesoma uchumi kwa hii picha utaelewa namaanisha nini... kama kwa siku naweza kuingiza mil 9.5 nani hapa TZ anaeza kunilipa?! Hata Dewji hawezi.![]()
Hapana,nikadhani anayepigiwa kura identity yake itakuwa waziNilitoa mawasiliano?!
Uelewa wako ni mdogo sana, si kwasababu umeshindwa kuelewa hiyo screen shot bali kujifanya mjuaji kwa kile usichokijua. Huwezi kuuliza kitu kisha ukajijibu.hebu toa maelezo ya hilo jedwali hapo naona mapicha picha tu au ndio ule mchezo wako wa bitcoin..?
tatizo lako sijui unajishtukia si ueleze tu ni nini ukishindwa hoja unakuja na kashfa sasa wewe umetusua nini hakuna mtu anaingiza million 9 kwa siku acha uongo wewe kuajiriwa hapo kwa NGO ndio umeshajiona umetusua hahaha
Pouwa,will do thatNicheki Sept mkuu wangu, sasa hivi nitakudanganya - trh 18 nasepa TZ ntakaa huko muda mrf kidogo.