Jinsi nilivyofanikiwa kutengeneza Sh. Milioni 19.9 ndani ya siku 35 kwa kutumia Milioni 3.8

tatizo lako sijui unajishtukia si ueleze tu ni nini ukishindwa hoja unakuja na kashfa sasa wewe umetusua nini hakuna mtu anaingiza million 9 kwa siku acha uongo wewe kuajiriwa hapo kwa NGO ndio umeshajiona umetusua hahaha
Mkuu miaka mi5 iliyopita nikiwa na miaka 18, nilikua so much motivated kua na mafanikio ya kiuchumi. Njia pekee iliyonosaidia ni kuassociate na na watu ambao walinitangulia kiuchumi, sikuweka roho ya kwanini, sikua na chuki, nilipenda kujifunza kupitia gurus. Biblia kitabu cha methali 27 17 inasema "iron sharpens iron, and so a friend should learn from a friend"

Nilivyofika miaka 19 nikapata Mil. $ mentor, akawa business na life coach wangu anaitwa Vusi Thembekwayo (unaeza mGoogle ama IG/FB).

Unaona hii mil 9 ni kubwa lkn mimi nipo too much motivated kufikia mentor wangu anayeingiza $180,000 (370 mil Tsh kwa siku).

Mtu mwenye kinyongo na mafanikio ya wenzie kama wewe kamwe hua hamfiki mbali.
 
maneno mengi ya nini we eleza hizo pesa unazipataje ? unauza nini? mbona story zako za shamba ulieleza hatua kwa hatua ...we eleza hatua kwa hatua hapa unapataje hiyo pesa na sisi tusio na mafanikio tujue....au unataka uwe tajiri peke yako mkuu hahaha mi sina chuki na mafanikio ya mtu maana mafanikio yako hayanihusu wala kunisaidia chochote kile kwenye maisha yangu......mafunzo yako jinsi ya kupata hiyo milioni 9 kwa siku nddio yatakayonisaidia
 
Bro why wasting all this energy on hating,this man has given it all,his time and attention just for love,to enlighten most of us on financial literacy,...lengo lako ni nini hasa,au ni mmoja ya waliofanikiwa so hutaki mwenzako awafumbue macho watu kwa hofu kuwa watakufikia!!?
 
mi siwezi mchukia mtu na sijawahi kumdharau mtu but ukinionyesha dharau nitakuonyesha dharau Zaidi yako...na ukiniheshimu nakuheshimu......kama amefanikiwa kumwambia aonyeshe hizo mbinu alizofanikiwa ni kumchukia?
 
teh teh teh[emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Hongera mkuu,
You are a special one,
Watu kama wewe kwenye 1000 ni 1 mtu,
Nakushukuru kwa kutumwagia maji hakika tumeamka maana usingizi ulikuwa mzito mithili ya mtu aliyechomwa sindano ya nusu kaputi.
 
Thanks it is a lesson my dear for our young disappointed generation. Lets use it as a way
 
Hahaha uliona live bila chenga au co.Hahaha umenichekesha sana bro.Acha kumzingua mjasiriamali hyo kijana.Alfu kama ww ni mzee unafqnya nini huku nendaiLAPF ukangaikie maafao bro.
 
Brother nimekupata vizuri ila ningepende kujuwa hicho unachokiita kiji ofisi unajishughulisha na biasha gani ili kama ni mahitaji ya kimsingi tuweze kuwa wateja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…