Mkaruka
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 19,629
- 34,199
Web yako imekufa, acha ubahili nipe kazi nikutengenee Website inayoendana na hadhi yakoNicheki Sept mkuu wangu, sasa hivi nitakudanganya - trh 18 nasepa TZ ntakaa huko muda mrf kidogo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Web yako imekufa, acha ubahili nipe kazi nikutengenee Website inayoendana na hadhi yakoNicheki Sept mkuu wangu, sasa hivi nitakudanganya - trh 18 nasepa TZ ntakaa huko muda mrf kidogo.
Mkuu miaka mi5 iliyopita nikiwa na miaka 18, nilikua so much motivated kua na mafanikio ya kiuchumi. Njia pekee iliyonosaidia ni kuassociate na na watu ambao walinitangulia kiuchumi, sikuweka roho ya kwanini, sikua na chuki, nilipenda kujifunza kupitia gurus. Biblia kitabu cha methali 27 17 inasema "iron sharpens iron, and so a friend should learn from a friend"tatizo lako sijui unajishtukia si ueleze tu ni nini ukishindwa hoja unakuja na kashfa sasa wewe umetusua nini hakuna mtu anaingiza million 9 kwa siku acha uongo wewe kuajiriwa hapo kwa NGO ndio umeshajiona umetusua hahaha
maneno mengi ya nini we eleza hizo pesa unazipataje ? unauza nini? mbona story zako za shamba ulieleza hatua kwa hatua ...we eleza hatua kwa hatua hapa unapataje hiyo pesa na sisi tusio na mafanikio tujue....au unataka uwe tajiri peke yako mkuu hahaha mi sina chuki na mafanikio ya mtu maana mafanikio yako hayanihusu wala kunisaidia chochote kile kwenye maisha yangu......mafunzo yako jinsi ya kupata hiyo milioni 9 kwa siku nddio yatakayonisaidiaMkuu miaka mi5 iliyopita nikiwa na miaka 18, nilikua so much motivated kua na mafanikio ya kiuchumi. Njia pekee iliyonosaidia ni kuassociate na na watu ambao walinitangulia kiuchumi, sikuweka roho ya kwanini, sikua na chuki, nilipenda kujifunza kupitia gurus. Biblia kitabu cha methali 27 17 inasema "iron sharpens iron, and so a friend should learn from a friend"
Nilivyofika miaka 19 nikapata Mil. $ mentor, akawa business na life coach wangu anaitwa Vusi Thembekwayo (unaeza mGoogle ama IG/FB).
Unaona hii mil 9 ni kubwa lkn mimi nipo too much motivated kufikia mentor wangu anayeingiza $180,000 (370 mil Tsh kwa siku).
![]()
Mtu mwenye kinyongo na mafanikio ya wenzie kama wewe kamwe hua hamfiki mbali.
Bro why wasting all this energy on hating,this man has given it all,his time and attention just for love,to enlighten most of us on financial literacy,...lengo lako ni nini hasa,au ni mmoja ya waliofanikiwa so hutaki mwenzako awafumbue macho watu kwa hofu kuwa watakufikia!!?maneno mengi ya nini we eleza hizo pesa unazipataje ? unauza nini? mbona story zako za shamba ulieleza hatua kwa hatua ...we eleza hatua kwa hatua hapa unapataje hiyo pesa na sisi tusio na mafanikio tujue....au unataka uwe tajiri peke yako mkuu hahaha mi sina chuki na mafanikio ya mtu maana mafanikio yako hayanihusu wala kunisaidia chochote kile kwenye maisha yangu......mafunzo yako jinsi ya kupata hiyo milioni 9 kwa siku nddio yatakayonisaidia
mi siwezi mchukia mtu na sijawahi kumdharau mtu but ukinionyesha dharau nitakuonyesha dharau Zaidi yako...na ukiniheshimu nakuheshimu......kama amefanikiwa kumwambia aonyeshe hizo mbinu alizofanikiwa ni kumchukia?Bro why wasting all this energy on hating,this man has given it all,his time and attention just for love,to enlighten most of us on financial literacy,...lengo lako ni nini hasa,au ni mmoja ya waliofanikiwa so hutaki mwenzako awafumbue macho watu kwa hofu kuwa watakufikia!!?
teh teh teh[emoji3] [emoji3] [emoji3]mi binti yangu ameolewa na ana mtoto nalea mjukuu! how possible niwe na miaka michache hivyo nakumbuka wakati wa vita vya Israel na Hizzbollah nilikuwa Beirut Lebanon na vita niliviona live! mbona unanishusha hivyo upande uliolalia sisi ndio tumeamkia kwa hiyo usfikiri watu wote ni wa kudanganywa kwa story vyako vya kijinga kijinga wengine hapa JF ni sehemu ya kazi! we bado maisha huyajui na hutayajua kamwe! we wakati unazaliwa mimi niko Marekani Las Vegas naangalia pambano la Mike Tyson na Frank Bruno kwenye ukumbi wa MGM ! Akina 2pac , Notorios BIG.., Snoop doggy sijawasikia nimewaona live kwenye Club!......pesa niliyoishika mimi wewe hata robo hautakaa uifikie......! your nothing kwangu ni sawa na sisimizi
hahahah namueleza huyo jamaa wakati anazaliwa mimi niko Marekani naangalia pambano la MIKE TYSON NA FRANK BRUNO....Halafu anataka kushindana na mimi?teh teh teh[emoji3] [emoji3] [emoji3]
hahaa mkuu wewe sio wa nchi hii,hahahah namueleza huyo jamaa wakati anazaliwa mimi niko Marekani naangalia pambano la MIKE TYSON NA FRANK BRUNO....Halafu anataka kushindana na mimi?
Duh kuna vita humu ndani[emoji3]Sasa nimejua kwa nini yule choko wa Kichaga anadhani wewe ndo mimi!
Hahaha uliona live bila chenga au co.Hahaha umenichekesha sana bro.Acha kumzingua mjasiriamali hyo kijana.Alfu kama ww ni mzee unafqnya nini huku nendaiLAPF ukangaikie maafao bro.mi binti yangu ameolewa na ana mtoto nalea mjukuu! how possible niwe na miaka michache hivyo nakumbuka wakati wa vita vya Israel na Hizzbollah nilikuwa Beirut Lebanon na vita niliviona live! mbona unanishusha hivyo upande uliolalia sisi ndio tumeamkia kwa hiyo usfikiri watu wote ni wa kudanganywa kwa story vyako vya kijinga kijinga wengine hapa JF ni sehemu ya kazi! we bado maisha huyajui na hutayajua kamwe! we wakati unazaliwa mimi niko Marekani Las Vegas naangalia pambano la Mike Tyson na Frank Bruno kwenye ukumbi wa MGM ! Akina 2pac , Notorios BIG.., Snoop doggy sijawasikia nimewaona live kwenye Club!......pesa niliyoishika mimi wewe hata robo hautakaa uifikie......! your nothing kwangu ni sawa na sisimizi
Nani kasema kuwa sisi ni disappointed generation ? Mchungaji wako au ?Thanks it is a lesson my dear for our young disappointed generation. Lets use it as a way
Mkuu Ontario nimeshakujua,much respect, kuna kakosa ulifanya nikajua Identity yako,ila sits I reveal,much respect imenifanya nizidi kuwish uwe my personal coachNilitoa mawasiliano?!