Jinsi nilivyofanikiwa kutengeneza Sh. Milioni 19.9 ndani ya siku 35 kwa kutumia Milioni 3.8

Mkuu mie naomba tuwasiliane zaidi tuyajenge
 
Ile biashara ambayo benk hawataki tuijue iliishia WAP hahahahaha
 
unauza mkuuu?
Mkuu siuzi ila naendelea kutafuta nmna bora ya kuzitumia, upo wapi maeneo ya Pwani? Natafuta shamba zuri la kulima mpunga acre 50 na kuendelea. Liwe karibu na maji. Maeneo ya Ruvu itakuwa vizuri sana.
 
mkuu nipo kubaha ila kunachombo changu nilikuwa nakifufua sema kipo mkoani mkuu naona tunaweza saidiana kwenye moja mbili then tukasonga mbali zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…