Uchira 1
JF-Expert Member
- Oct 9, 2017
- 5,994
- 8,696
Mkuu mie naomba tuwasiliane zaidi tuyajengeUsiende na wewe ukakodisha trekta ukifikiri utaweza kufanya kama Ontario. Inategemea mambo mengi sana kufanikiwa na trekta. Nimekuwa nayo mawili mapya kuna changamoto nyingi na wakati mwingine unaweza kuweka juu ya mawe kwa kukosa wateja au wakati uharibifu mkubwa unapotokea.