Jinsi nilivyofanikiwa kutengeneza Sh. Milioni 19.9 ndani ya siku 35 kwa kutumia Milioni 3.8

Jinsi nilivyofanikiwa kutengeneza Sh. Milioni 19.9 ndani ya siku 35 kwa kutumia Milioni 3.8

Nimesoma kwa majonzi sana na masikitiko makubwa mno ndani ya moyo wang najiona kama mm ndo sina cha kufanya wala connection yeyote ile zaidi ya kusotea kariakoo for the mostly of six years and half for nothing I don't know what I,m going to archive at the end of the day very sadness to


Mm nakwama wapi Mbona michongo sipati kbsàa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Afterthought 6:

Mtu atauliza - Bro mimi ndio kwanza nipo chuo au nimemaliza lkn life la kitaa limenipodoa nifanyaje?

Nilibahatika kuongea kwenye conference kubwa sana huko Virginia, Arlington city marekani juu ya kutengeneza fursa za uchumi kwa vijana wa nchi za Africa. Presentation yangu ilikua THE BEST, nakumbuka nilivyorudi hotel, nilifungua email na kukuta message 147 za feedback ya presentation yangu.
3c737fd28cea4a851b5da4297e47fa38.jpg


Moja ya watu waliokua interested na mimi ni USAID - Education, kuna vitu tunakamilisha soon nitalaunge project mahsusi kuwakomboa vijana kiuchumi.

With time tutashare zaidi kuhusu fursa hii, nikiwa tayari nitatafuta ID verification kisha tutaona how far we can go together from here. No room for poverty
99b175dcae036d2e2cac738961fd736b.
Sir jeff denis✅✅✅interested
 
Back
Top Bottom