Deogratius Mushi
New Member
- Feb 1, 2018
- 2
- 1
Hahahahhaha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahahhaha
Mcheki IG...Sirjeff dennis.Huyu jamaa yupo wapi siku hizi?
Kajamaa kanatia hasira kweli unaweza fikri hupambani mtaaani Bali unatania , ila now days kamepoa Sana sjui kamepata babyMcheki IG...Sirjeff dennis.
Akakutie hasira kidogo.
Ana hasira sana tatizo,hataki apingweKajamaa kanatia hasira kweli unaweza fikri hupambani mtaaani Bali unatania , ila now days kamepoa Sana sjui kamepata baby
kama hujui kitu bora unyamaze tuyaani wee dogo maisha bila utapeli kwako hayaendi? instagram we ni forex trader,mkulima na mfugaji, jf we ni mkulima, acha utapeli we dogo, tafta pesa
Mbona kama huu uzi una DNA za ukweli ndani yake but not sureAione Morg
Upitie tu. Wengi waliowaza kama wewe kwa sasa wana maoni tofuati
Yupo likizo hata inst kaadimikaOntario ser Jeff ukiacha kuwapiga wazembe wa jamii forum jamaa anatema nondo
Haya maneno yanaishi hadi sasa!Mchawi wa mafanikio ni umakini, kujituma na kuipenda kazi yako. Hakuna ndumba, unachoma tu pesa zako.
Na hauwezi kuwa TAPELI BILA KUTEMA NONDO.Ontario ser Jeff ukiacha kuwapiga wazembe wa jamii forum jamaa anatema nondo
Sir jeff denis✅✅✅interestedAfterthought 6:
Mtu atauliza - Bro mimi ndio kwanza nipo chuo au nimemaliza lkn life la kitaa limenipodoa nifanyaje?
Nilibahatika kuongea kwenye conference kubwa sana huko Virginia, Arlington city marekani juu ya kutengeneza fursa za uchumi kwa vijana wa nchi za Africa. Presentation yangu ilikua THE BEST, nakumbuka nilivyorudi hotel, nilifungua email na kukuta message 147 za feedback ya presentation yangu.![]()
Moja ya watu waliokua interested na mimi ni USAID - Education, kuna vitu tunakamilisha soon nitalaunge project mahsusi kuwakomboa vijana kiuchumi.
With time tutashare zaidi kuhusu fursa hii, nikiwa tayari nitatafuta ID verification kisha tutaona how far we can go together from here. No room for poverty![]()