Jinsi nilivyofanikiwa kutengeneza Sh. Milioni 19.9 ndani ya siku 35 kwa kutumia Milioni 3.8

Jinsi nilivyofanikiwa kutengeneza Sh. Milioni 19.9 ndani ya siku 35 kwa kutumia Milioni 3.8

Mkuu Jeff hata kama alipiga watu yule jamaa yupo smart sana, kuna jamaa alikuwa anatuonyesha uwekezaji wake yeye alikuwa anafanya nae kazi asee jamaa ni extraordinary , yule jamaa yupo kampuni inasafirisha hii miti ya mikaratusi na magogo mengine yanapelekwa. Kwenye migodi baada ya kuvunwa.
Naifahamu mkuu, ana vuna mbao.
 
pole sana unafahamu mjengo wake ulipo? Kuna jamaa anafanya nae kazi huwa anatuambia jamaa ana misimamo sana na kujisikia, sio mashamba ya mikaratusi, morogoro ana mashamba analima mapapai, hukk kama unaelekea ana mashamba, huwa jamaa anatembea nae na mpaka vdeo anatuonyesha.
Janja yupo smart sana nakuambia hapa bongo anayo kampuni na magogo mengine anapeleka migodini. Hawakati kujulikana kukwepa kodi ila shida yake ni kujisikia na misimamo mikali
Ontario karibu sana
 
Nina ka akiba kangu kama milioni saba ningependa kuwekeza kwenye hii forex trade nahitaji elimu na kama kuna gharama za kulipia mafunzo nipo tayari, maana huu uzi umenipa hasira sana
Hiyo milion saba hela ya bia ndani ya wiki unaingia katika list ya mabilionea, nenda Twitter kuna mtu anajiita Sir Jeff atakupa mwongozo.
 
Back
Top Bottom