monopoly inc
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 5,256
- 11,377
Sawaa mkuuu nmekuelewa kwenda SA ni utajirihiyo nyumba uliona wapi? Embu tuonyeshe ni wapi hapo alijenga?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawaa mkuuu nmekuelewa kwenda SA ni utajirihiyo nyumba uliona wapi? Embu tuonyeshe ni wapi hapo alijenga?
Sorry sana mkuuuhiyo nyumba uliona wapi? Embu tuonyeshe ni wapi hapo alijenga?
Naifahamu mkuu, ana vuna mbao.Mkuu Jeff hata kama alipiga watu yule jamaa yupo smart sana, kuna jamaa alikuwa anatuonyesha uwekezaji wake yeye alikuwa anafanya nae kazi asee jamaa ni extraordinary , yule jamaa yupo kampuni inasafirisha hii miti ya mikaratusi na magogo mengine yanapelekwa. Kwenye migodi baada ya kuvunwa.
Yaani hujaelewa hio sehemu palipojengwa unapajua? Embu tuonyeshe sasa? KWamba kuna mtu mwingine na si nyumba yake? Mbona lugha nyepesi?Sorry sana mkuuu
Nisamehe mno yaani mnooo
Sikujua umejiunga jf 24 January 2024
Samahani sana sirudiii tena kukusumbua
kiukweli binafsi siwezi hiyo pesa zAidi ya M3 point kwenda na kurudi sina, kama vijana wengi wapo hivyo wikiendi hongereni mm bado najitafuta na Hongera na wewe piaSawaa mkuuu nmekuelewa kwenda SA ni utajiri
yote yote mimi nilimuona Jeff mara ya mwisho maeneo ya jeshini relini bwela kuna nyumba kule bonge la jumba, kiukweli mshkaj ni smart sana,Naifahamu mkuu, ana vuna mbao.
Ontario karibu sanapole sana unafahamu mjengo wake ulipo? Kuna jamaa anafanya nae kazi huwa anatuambia jamaa ana misimamo sana na kujisikia, sio mashamba ya mikaratusi, morogoro ana mashamba analima mapapai, hukk kama unaelekea ana mashamba, huwa jamaa anatembea nae na mpaka vdeo anatuonyesha.
Janja yupo smart sana nakuambia hapa bongo anayo kampuni na magogo mengine anapeleka migodini. Hawakati kujulikana kukwepa kodi ila shida yake ni kujisikia na misimamo mikali
Wewe wasema😀 Mimi kapuku tu nipo namenya viazi hapa gomz😀Ontario karibu sana
Mimi sio kijana na sio tajiri mkuukiukweli binafsi siwezi hiyo pesa zAidi ya M3 point kwenda na kurudi sina, kama vijana wengi wapo hivyo wikiendi hongereni mm bado najitafuta na Hongera na wewe pia
Mbona unamsifia sana mwanaume mwenzako????Wewe wasema[emoji3] Mimi kapuku tu nipo namenya viazi hapa gomz[emoji3]
Hongera mkuu ,sis bado tunjitafutaMimi sio kijana na sio tajiri mkuu
ila SA ni km naenda kariakoo
nasifia mtu hustler sirjeff ni hustler kuna tatizo kusifia mtu? Au kusifia ni kwa ajili ya wanawake?Mbona unamsifia sana mwanaume mwenzako????
nasifia mtu hustler sirjeff ni hustler kuna tatizo kusifia mtu? Au kusifia ni kwa ajili ya wanawake?
endelea kuomba namba za waganga wenzako tunabeba mizigo sokoniUchawa tayari ni kazi rasmi, usijali akiona atakupa kazi.
Utapigwa kama wenzio mpaka leo wanajuta.Nina ka akiba kangu kama milioni saba ningependa kuwekeza kwenye hii forex trade nahitaji elimu na kama kuna gharama za kulipia mafunzo nipo tayari, maana huu uzi umenipa hasira sana
Hiyo milion saba hela ya bia ndani ya wiki unaingia katika list ya mabilionea, nenda Twitter kuna mtu anajiita Sir Jeff atakupa mwongozo.Nina ka akiba kangu kama milioni saba ningependa kuwekeza kwenye hii forex trade nahitaji elimu na kama kuna gharama za kulipia mafunzo nipo tayari, maana huu uzi umenipa hasira sana