Jinsi nilivyofilisika na kupoteza Tsh Milioni 25 kupitia kamari ya Aviator

Jinsi nilivyofilisika na kupoteza Tsh Milioni 25 kupitia kamari ya Aviator

Kati ya vitu namshukuru Mungu ni KUTOTAKA KUJUA MCHEZO WOWOTE WA KAMARI, mimi ukitaka nikuweke mbali ktk maisha yangu basi niambie kuhusu kamari au nijue kama unacheza kamari.
Ni mara kumi mlevi wa pombe ila sio kamari, kamari ni sawa sawa na madawa ya kulevya ukijaribu tu umenesa na hakika utapoteza pesa nyingi sana.
Tanzania inahangamia kwa KAMARI sio MADAWA kama zamani...
Katika yote hongera sana Mungu akubariki na akusaidie kurudi ktk maisha bora
 
Na kama umecheza umepoteza pesa nyingi, kubali tu kuwa umepoteza usilazamishe kurudisha utapoteza ZAIDI. Kumbuka pesa inatafutwa na kurudi, ila ukifa haurudi Tena
Hii imenigusa mkuu, hongera sana kwa kushinda jaribu la shetani aviator sijawahi kugusa hiio kitu na sitokaa nithubutu hata siku 1
 
Bila picha, hii ni chai
We sema chai tu,kuna binmkubwa mmoja, daktari wa magonjwa ya moyo mji mkuu wa seeikali alikuwa anavheza hii kitu,akienda semina hela yote inaishia kwwenye kamati, mpaka tunamchangia nauli ya kurudi, mwisho wa wa siku mpaka gari yake noah ilichuliwa kwa sababu ya pesa ya bond ya kamari. Ombea yasikukute wewe au ndugu yako
 
Mimi ni shuhuda
Kama three days zilzopita nmepoteza more than 5m kwenye aviator.....nkaapa stocheza tena ila muda syo mrefu nmetoka kuliwa 2m.....npo tuu nalewa npoteze haya mawazo.....
 
Duu sina muda wa kumaliza kuisoma yote ndefu sana stori yako ..next time anitafute nikupe odds 2 kwa match 4 kila siku...bet
No penalty awarded
Double chance 12 shoot on target first half
Total over 0.5 second half
Double chance 12
Bet kwa hio formula
 
Attachments

  • IMG_1344.png
    IMG_1344.png
    609.5 KB · Views: 30
Mimi ni shuhuda
Kama three days zilzopita nmepoteza more than 5m kwenye aviator.....nkaapa stocheza tena ila muda syo mrefu nmetoka kuliwa 2m.....npo tuu nalewa npoteze haya mawazo.....
Unacheza laki laki uje tuchezee kampuni gani
 
Mkuu nakuelewa sana, mimi pia ni shuhuda wa hili..
Kamari ina uraibu sawa sawa na UNGA naamini hili,
Teja wa unga na mcheza kamari nahisi ni sawa kabisa...
Hii ya kujiapiza unaacha na kisha unarudia ipo sana hii, mie sijakaa chini na kupiga hesabu lakini kwa miaka 13-15 hivi nimekuwa mkamaria najua CHUNGU yake,
Sijawahi piga hesabu ila pesa ni nyingi sana, nyingi mnoo
Mie nilikuwa kwenye BETTING, aviator imekuja imenikuta tayari nina madonda mengi ya kamari nikaogopa hata kujaribu

Uzuri umekiri kuacha ingekuwa bado nilitaka mie nawe tuonane uso kwa macho nione namna ya kuzungumza nawe tusaidiane.
Dawa kuu ya tatizo ni kulikubali tatizo, ukishajua hii ndio chanzo cha yote kubadilika inawezekana kwa 75%

Mwaka jana jamaa yangu kapoteza nyumba kabisa kwenye NYAKALENGEDE, kapigwa mapigo ya TAI CHI, nyumba kaipoteza, ikafika hatua anatembea anaongea mwenyewe tu.

Halafu mtaani watu hawajali wala nini, wanaishi na ule msemo
"KAMARI NI MATAKO, UKILIWA KUNG'UTA NENDA ZAKO."
 
Back
Top Bottom