Jinsi nilivyofilisika na kupoteza Tsh Milioni 25 kupitia kamari ya Aviator

Get up to TSh 50,000 when you pay with Mixx Lipa Kwa Simu via MIXX SUPER APP at fuel stations, supermarkets and other stores. Offer available from 4 PM to 7 PM!
 
Mimi ni shuhuda
Kama three days zilzopita nmepoteza more than 5m kwenye aviator.....nkaapa stocheza tena ila muda syo mrefu nmetoka kuliwa 2m.....npo tuu nalewa npoteze haya mawazo.....
Pole sana mwanetu
 
Pole aisee mm nacheza betting ya football tu.Sijawahi cheza Aviator hata mara moja naogopa mno.Pia casino zote sijawahi,na nimeshajiwekea utaratibu dau langu halizidi elfu 15 na nacheza jumamosi na jumapili tu au siku kama kuna UEFA
 
Duh!...noma sana.

Vyombo vyote vya habari matangazo yao ni kamari tu, hili pamoja na pombe Kali, Energy drinks ni majanga mapya.
 
Mkuu pole sana kiukweli ninamtoto wa dada yangu amekuwa mraibu wa kamari sana na nimeongea naye sana hataki kabisa kuacha na ancheza ile kamari ya karata yani kila shilingi yake ni uko anakibarua analopwa laki na nisu anakopa fedha anapeleka kwenye kamari mwosho wa mwezia akipokea analipa amekuwa mtumwa kabisa na kimepambana kumtoa uko ila naona amenishinda sasa nimeamua kimuacha mpaka siku ataamua kuacha mwenyewe
 
Sielewei ila Kila aina ya kamari nimejaribu na kwa neema sijawahi kuwa mraibu...mfano kuna company inahela yangu kule nikijiskia kucheza game nacheza aviator
 
Kuna ule usemi wa vijiweni unasema kamari matacall ukiliwa nenda zako 🚶
 
Kuna jamaa yangu anapitia huu msoto balaa, anaweza akacheza usiku akapiga hadi laki 5+, anaenda kulala asubuhi anaamkia kwangu anaomba 3000 ya kunywa chai unampa then anairudisha humo humo analiwa keshakua addicted sahv akija kuomba hela naenda nae hadi sehemu husika anayohitaji huduma namnunulia kwa lazima ananichukia ila najitahidi kumuondoa kwenye hilo shimo refu sana aliomo.
 
Kuna jamaa yangu anapitia huu msoto balaa, anaweza akacheza usiku akapiga hadi laki 5+, anaenda kulala asubuhi anaamkia kwangu anaomba 3000 ya kunywa chai unampa then anairudisha humo humo analiwa keshakua addicted sahv akija kuomba hela naenda nae hadi sehemu husika anayohitaji huduma namnunulia kwa lazima ananichukia ila najitahidi
 
Daah
Ni rahisi kulizungumzia suala la kamari kama tatizo,Ila huwezi jua hili ni tatizo kubwa kiasi gani mpaka ujaribu kucheza.nilianza kwa deposit ya 10k ikaisha.
Nikaweka 350k ikaisha.
Nikaweka 1.3milion ikaisha.
Inatisha sana.

Fun thing ni namna odds zinavyopangwa.ile algorithm inayopanga odds ni balaa.

Mfano ukishakuwa legend unakuja kugundua kwamba odds za 1.3,1.4,1.5 na 1.6 zinalipa kwa uhakika.

Unakusanya timu tatu unapata zako odds 1.5 ,unatupia 100k ukitarajia kupata 145k baada ya kodi.hahaaa timu Moja inachana.

Halafu kuna mjinga Mmoja kakusanya odds 30 zinaitika anapiga milioni mbili mpaka 3.

Kuna msemo wetu wakamaria unasema odds ni 1-5 tu,huko kwingine ni upuuzi 😂😂😂.nakuambia hivi hizi odds ndo zinaongoza kufirisi watu balaa.
 
Jirani yangu Mshikaji kbs tunaanza kuona anazidi kulinda, Hana Raha muda woote, madeni Mitaa yoote, tulipochunguza nini tatizo kumbe ni KUBET.

Hela yoyote anayopata ni KUBET, huku akijipa matumaini kutokana n stori za mitandaoni kwamba Fulani napiga 200M
Jamaa Kipato Duni llakini anaandika mkeka hadi wa Laki 3
 
Walioleta smartphone ndio hao hao wametengeneza hizo software za KUBET, tumekwisha
 
Kuna namna Huwa nashindwa kuelewa,ukipata odd 1.4 au 1.5 ukastake 10k ni rahisi kabisa kupata 14k-15k.jichanganye odd hiyo hiyo uweke milioni Moja au laki ndo utajua what is betting.

Naamini huu mchezo kuna namna spiritual realm power inahusika.

Kuna kampuni hadi nimetelekeza mtaji wa 240k.kila nikijisikia kwenda kucheza naucheza na naliwa.nikila 20k napoteza 35k

Namshukuru mungu bado Nina nguvu ya kuamua kutocheza na nikawa okay.tangu world cup umeanza nimepigwa mara Moja nikakaa pembeni nacheki mhindi anavyokula watu
 
Fact....hii kitu ni spiritual
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…