Jinsi nilivyofilisika na kupoteza Tsh Milioni 25 kupitia kamari ya Aviator


Qur'ani inataja wazi kwamba kamari na ulevi zina madhara makubwa kuliko manufaa yake.
Katika Qur'an, Surah Al-Baqarah 2:219, Allah anasema:
"Wanakuuliza juu ya ulevi na kamari. Sema: Katika hivyo mna dhambi kubwa na manufaa kwa watu, lakini dhambi yake ni kubwa kuliko manufaa yake."
Pia katika Surah Al-Ma'idah 5:90-91:
"Enyi mlioamini! Hakika ulevi, kamari, masanamu na kupiga ramli kwa mishale ni uchafu katika kazi za Shetani. Basi jiepusheni navyo ili mpate kufanikiwa."
Kwa mujibu wa Qur'ani:
Kamari huleta hasara ya mali na migogoro.
Ulevi huondoa utambuzi na humzuia mtu kumkumbuka Allah na kuswali.
Vyote viwili ni sababu za maadui na chuki baina ya watu.
 
Duh jamaa alipoteza je nyumba?
 
Hii kitu nakumbuka mwaka 2024 kwenye msiba wa mama yangu ndipo nilipojifunzia na ilitafuna pesa zangu zote nilizopewa rambirambi hadi nikaomba nauli kunitoa Tanga msibani kunirudisha Mwanza kibaruani. Ila baadae niliingia humu JF nikatafuta nyuzi zinazohusiana na hako kandege, nikakuta wana wameshaelezea kila kitu na tricks wanazotumia kutuibia nikaachana na betting moja kwa moja.
 
Pole jamaa yangu. Japo nimecheka😀, washenzi hawana huruma wanapiga Hadi rambirambi.
Ndio hivyo tumeishapoteza hakuna namna. Mimi 25 Milioni imeishaenda
 
Ww nikama mm umenipa fundisho kubwa sana
 
nimesoma yo
nimesoma yote. nimejifunza
 
Maelezo mengi sana tena mengine hayana msingi ushaeleza ulipoteza hela sasa mengine ya nini?
 
Pole sana ukitaka kucheza kamari ni mpira tu tena Kwa mwezi Tenga elf nne tu kila wiki buku weka timu kibao ije walau mill 10 ukiliwa sawa naamini elfu nne Kwa mwezi haiwezi athiri uchumi wako
 
daaah aseee mwaka juzi nilijichanganya nikaweka kwenye aviator nilipigwa za USO hadi leo sitasahau ..pole sana mkuu
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Pole sana mkuu, pia hongera kwa kutambua tatizo na kulifanyia kazi
 
Mimi ni shuhuda
Kama three days zilzopita nmepoteza more than 5m kwenye aviator.....nkaapa stocheza tena ila muda syo mrefu nmetoka kuliwa 2m.....npo tuu nalewa npoteze haya mawazo.....
Aviator imeharibu maisha ya wengi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…