Jinsi Nilivyojifadhili Chuo cha kati na sasa chuo kikuu bila backup yoyote

Kinacho mtawala nikupata degree tu kisa ni wakwanza kwao kuingisa chuo kikuu, ila anaonekana ana nidhamu ya kazi.
 
Waha wengi ni wachapa kazi Za nguvu na wavumilivu sanaa ila ni watu rigid hawabadiliki haraka, wanawake wengi wa kiha ni wachafu na kwa 90% wana fikra za kichawi........hiyo ndo shida kubwa ila ni waminifu kwenye kazi .
 
Nifanyie maelekezo mkuu nimpate huyo engineer
 
Hongera sana na pia elimu ina umuhimu wake kwa hiyo usijutie kusoma hiyo degree pamoja na kuwa unatafuta vibarua hapo Arusha, unaweza pia ukajisajili kwenye website za mambo ya tourism kama tripAdvisor na magroup ya facebook kama tour guide binafsi kuwatembeza watalii ndani ya jiji la arusha na vivutio vingine vya karibu kama Meru forest, chemka hot spring n.k na uweke bei ya chini ili usichelewe kupata mteja wako wa kwanza.
Hii kwa kuanza ni ngumu lakini ukiweza kutumia hizo site na mitandao ya kijamii vizuri na kuwa active basi hautachelewa kupata mteja wako wa kwanza. Mimi nitakupa hii kazi ya kuwatembeza wateja wangu ndani ya jiji la Arusha lakini lazima uwe na account kwenye social media kuonyesha kweli wewe ni local tour guider binafsi.
 
Ngoja nilifanyie kazi mkuu
 
Hata za akili, kuanzia miaka ya 2000 wameingiza watt wengi shuleni kuanzia kizazi icho wanasoma mno. Yaani Muha Kila mahala yupo uzuri sio mvivu. Suala la wanawake wao kuwa wachafu chiefu ni suala la mazoea na mazingira ya kimaisha , mtu ana watt wengi anafanya kazi akachoka utadhani atapata wapi muda wa kuwa soap soap.
Muweke mjini mfungulie duka ,muwekee mfanyakazi nyumbani Halafu tuone je atakuwa mchafu.
Kuna hali ngumu kimaisha wanazopitia unadhani utawaza kuwa unukieje.
Kuna mwanamke wa kiha unakutana Naye ana gunia la viazi kichwani mtoto mgongoni anapanda mlima wenye mawe.
They're very strong to fight for daily bread na sio wadangaji ujue.
Hawana akili iyo.
Pia sio waoga wa kuzaa hata ukitaka 16yrs kwa mwanamke anakuzalia , ivi wewe unamchotaka nini awe nacho.
Kazi zote wanapiga sema labda majority hawakusoma
 
B
Kwa wale mnaojitafufia ada ombeni vyuo miji ifuatayo,
Mbeya
Dar
Mwanza
Njombe.
Moro.
Huko maisha yapo chini na kazi zipo.
Mbeya na Njombe kazi za kilimo , Dar na mwanza vibarua na biashara Njombe hakuna chuo cha degree mkuu
Njombe hakuna chuo cha degree kiongoz
 
Huo mtaji unao mzee si uwe kama dada hapo na wewe kama rahisi
 
Kwa wale mnaojitafufia ada ombeni vyuo miji ifuatayo,
Mbeya
Dar
Mwanza
Njombe.
Moro.
Huko maisha yapo chini na kazi zipo.
Mbeya na Njombe kazi za kilimo , Dar na mwanza vibarua na biashara .
Wakati naommba vyuo mwaka 2023 niliomba vyuo vingi ikiwemo na IAA main campus Arusha ila nilipowaza kwa kina iwapo nikikosa mkopo na saport ya wazazi ni ndogo mno ikabidi wakati wa kukomfim nikomfim CUoM mbeya na sina mkopo nw mwaka wa pili naishi vzr no stress kaz za ufundi zinaniendeshea maisha yangu vzr
 
Kwa wale mnaojitafufia ada ombeni vyuo miji ifuatayo,
Mbeya
Dar
Mwanza
Njombe.
Moro.
Huko maisha yapo chini na kazi zipo.
Mbeya na Njombe kazi za kilimo , Dar na mwanza vibarua na biashara .
Boss kwa Njombe nakupinga ,huo mji uchumi mgumu sana kwakweli nimeishi hapo mjini 2 years.
 
Achana na kusoma kaka utasoma ukiwa akili imetulia elimu uliyopata inatosha kabisaa tafuta hela najua unawadogo zako pambania kesho yao hapo ulipofika inatosha. "" Sisi tusiopenda kuonewa huruma hatuhitaji kulia pia kwa watu " piga moyo konde pambania utafanikiwa amini
 
Boss kwa Njombe nakupinga ,huo mji uchumi mgumu sana kwakweli nimeishi hapo mjini 2 years.
Kwa maana ya gharama ya chakula. Chakula sio ghari.Mzunguko wa pesa ni kweli mgumu na shughuli nyingi za vibarua wa kilimo.
 
Kwa maana ya gharama ya chakula. Chakula sio ghari.Mzunguko wa pesa ni kweli mgumu na shughuli nyingi za vibarua wa kilimo.
Ukishaona mji wazawa wengi kuliko wageni huwaga mgumu sana maana hata uchumi wao huendeshwa kibaguzi.
 
Hii spirit ya mapambano inaenda kupotezwa na degree.

Kwa miaka ya hivi karibuni hizi degree tunazifungia tu makabatini hasa kama ndoto zako ni kuishia hapo kwa mtu uliesoma Accountancy.

Ila hamna kitu kigumu kama kumshauri mtu asisome degree, utapigwa ngumi. 😂😂
 
Kwanza waajiri wengi wanataka mtu cheap hiyo degree wanaogopa bill.

Kwa kutoka Manyara amefanya kosa la kiufundi,ilitakiwa aanze na ujenzi wa low cost house na aweze kupangisha kama chumba ni Tsh 30,000 nazani wateja wake wa kwanza wangekuwa wanachuo,hiyo pesa uliyolipa kuhonga kazi ilitakiwa uandae matofali ya vyumba vitatu vya kupangisha ungepata 90,000 ungeanza kuitwa a learning land Lord.
Acha maskitiko simamisha degree programs urudi Manyara huko ukapaambane na ujenzi ukiweza nenda pembeni huko orjoro uanze ujenzi wa nyumba za watu Arusha ni mji ukiwa mjanja Kuna vyakula cheap sana lazima uwe mjanja ukila sausage Moja kichuri na ndizi mbili siku imeenda ingia kimkakati.

Usiishi kinyonge ukiwa mjenzi jifunze na kuweka fixture kama.Ac na vitu vingine kwa kusoma utube.
Hebu acha kuchelewa watu wengi sana wanajenga now days.
 
Nje akienda Canada kamaliza mikosi yote,hata akienda Sweden au Ubergiji a Australia, ila awe at least mrefu kiasi kashamaliza sababu huo ujenzi wake pia ataukuta Canada inagawa wanajenga kwa technology lakini site lazima iwe na watu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…